Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nampenda Bobby ila naona tumuachie, keita abaki hata kwa mkataba wa 2 yr, Gomez still anamuda wa kurudi kwenye kiwango chake, milner hata leo aondoke tunashukuru kwa kazi yake.
Bobby ni mzembe sana uwanjani,hayupo makini, anapoteza mipira hovyo na hawezi kupambania mipira.Gomez ni mzuri ila nafasi imekuwa finyu kwake,ni bora kutolewa aidha kwa mkopo kwa ajili ya kupata nafasi na kuboresha kiwango chake.
 
Kusema ukweli yule jamaa anajua sana, naamini chini ya Klopp angekuwa bora sana kama tunavyovuna matunda ya Thiago Alcantara kwasasa..

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Hakika chini ya Klopp hakuna anaeshidikana kung'aa kabisa.

Kipindi anachagua Chelsea ilikua pia wamo Manchester City na Liverpool wanatajwa kumtazama. Ukiona idara ya usajili inafuatilia mchezaji basi jua huyo anachakuleta kwenye kikosi.

YNWA
 
Mechi ya leo naiona ni ngumu kuliko mechi zote mbili za villareal, ( Fainali tayari na ubingwa 99%) pengine tukahitaji Miungu ya Origi leo, ila ushindi ni muhimu japo sina matumaini na hili kombe.

All the best chama kubwa
YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…