D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,058
david ornstein anasema mkataba mpya wa klopp utaishia 2026 kwa maana utakuwa ni ongezeko la miaka 2. huyu fala david ornstein akikwambia demu wako anachepuka na daemushin wewe unachopaswa kufanya ni kumuamini.Aisee kwa hio Steve G ndio apambane na Villa yake kwa sasa.
Huyo mwamba aodoke tu 2030 au mnaona aje yaaani akitoka Liverpool ni kustaafu hakuna kingine.
YNWA
Klopp tunae sana
Asanteeeee!Wanaenda mda wa nyongeza
π π π π π Ina maana pengine kutokana na performance kadhaa basi mkataba wake unaji renew wenyewe miaka miwili, yaaani huyu Norbert atulie mpaka 2030 mie nina amani kabisa.david ornstein anasema mkataba mpya wa klopp utaishia 2026 kwa maana utakuwa ni ongezeko la miaka 2. huyu fala david ornstein akikwambia demu wako anachepuka na daemushin wewe unachopaswa kufanya ni kumuamini.
Mkuu hilo niliwai kujiuliza kama vile njia pekee ya kupata uhakika wa ku mridhi Klopp pale Liverpool ingekua powa akiwa msaidizi wa Klopp hata kwa misimu 3 au 4 hivi atakua kashaiva vya kutosha kuvaa viatu vya Klopp otherwise kule Aston Villa atasubiri sana aisee.Steve G ni Bora aje akae Chini ya Klopp awe Assistant wake kwa Misimu 4 mpaka 5 ndiyo akabidhiwe Timu.
Hapo tayari atakuwa amejifunza mengi kutoka kwa Klopp kama Arteta alivyojifunza kutoka kwa Pep.
Bhanaaaa πππ€£ππ€£ utasikia lile goli apewe mkataba mpaka 2028 ππYeye mwenyewe haamini[emoji23]
Hahaha jamani Steve hahaja ngoja aje na kina Chambers tutaambiwa next VVD mtamwelewa tu.Steve hapana [emoji3].
Akiondoka hapo ni kustaafu tu.
Sijajua kwa nini mna imani kubwa na Gerrard kwamba atakuja kuwa kocha bora na mzuri. Uzoefu unaonyesha siyo kucheza kwa kiwango cha juu kutakufanya kuwa kocha bora. Wengi wamefail maeneo hayo. Wachache wamefanikiwa.Mkuu hilo niliwai kujiuliza kama vile njia pekee ya kupata uhakika wa ku mridhi Klopp pale Liverpool ingekua powa akiwa msaidizi wa Klopp hata kwa misimu 3 au 4 hivi atakua kashaiva vya kutosha kuvaa viatu vya Klopp otherwise kule Aston Villa atasubiri sana aisee.
Muda utasema aisee otherwise kwa hawa FSG hawapo kabisa kumfurahisha mtu yeyote wapo kikazi zaidi na kwa sasa Klopp anawaingizia pesa nyingi sana huku brand ya Liverpool ikizidi kukua kila siku hivyo Klopp labda aseme yeye amechoka lakini kama bado ana njaa ana nguvu ya kufanya kazi basi huyu tunae.
YNWA
Nasimama na wewe ndugu yangu ni simpo ni legend best of best lakini ikija suala la Meneja wa Klabu hii pendwa lazima apatikane mwenye maono kama ya Klopp ili kuyaedeleza yale anayofanya sasa ama aliebora zaidi ya Klopp.Sijajua kwa nini mna imani kubwa na Gerrard kwamba atakuja kuwa kocha bora na mzuri. Uzoefu unaonyesha siyo kucheza kwa kiwango cha juu kutakufanya kuwa kocha bora. Wengi wamefail maeneo hayo. Wachache wamefanikiwa.
Tunapaswa kusign kocho kulingana na wakati. Uingerea haijawahi kutoa kocha mzuri.
Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bhanaaaa [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] utasikia lile goli apewe mkataba mpaka 2028 [emoji41][emoji41]
YNWA
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππYou have made my day.Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama lake atapewa mkataba huo basi akina Mane wapewe mkataba wa maisha.
Pamoja na Last Pharaoh King of Egypt πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππYou have made my day.
Mane apate mkataba wa maisha hahaha
YNWA
Pamoja na mwamba Milner hahahaha.Pamoja na Last Pharaoh King of Egypt π