Mimi nasema gemu ambazo zinaweza kuwa sababu ya kutunyima ubingwa ni liverpool 2-2 brighton, na leicester 1-0 liverpool hii gemu leicester walikuwa na injuries Kibao Salah na Mane waliunderperfom sanaSlim chances kupata huu ubingwa ni sisi na lipo wazi especially Manchester City wakianza kurudi kwenye ubora wao kama mechi ya juzi
Lakini We are Liverpool we fight to last second regardless msimamo unasema aje.
Bil Shankly alisema wa kwanza ni kwanza tu wa pili ni kama hamna kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 1st is 1st second is nothing hivyo jamaa yangu mie nasimama na Bill mzee baba hapa kunyanyua mikono ni mpaka pale aidha tuchapike ama kipenga cha mwisho tarehe 22 Mei nadhani ndio Ligi inaisha.
No retreat no surrender ama ukipenda ya Mo Salah Never Give Up.
Umeuliza tulipotelea wapi. Ni hapa
Sare ya Brentford ugenini
Sare ya Chelsea ugenini
Sare ya Manchester City ugenini
Hizo gemu ilikua za ushindi lakini wachezaji walisinzia wakati muhimu sana matokeo yake ndio hii pointi 1 sasa inaonekana hapa.
YNWA
Na ile everton alionyimwa na man city😃😃😃 ile point ilituumiza wote everton na liverpool.Slim chances kupata huu ubingwa ni sisi na lipo wazi especially Manchester City wakianza kurudi kwenye ubora wao kama mechi ya juzi
Lakini We are Liverpool we fight to last second regardless msimamo unasema aje.
Bil Shankly alisema wa kwanza ni kwanza tu wa pili ni kama hamna kitu 😂😂😂😂😂 1st is 1st second is nothing hivyo jamaa yangu mie nasimama na Bill mzee baba hapa kunyanyua mikono ni mpaka pale aidha tuchapike ama kipenga cha mwisho tarehe 22 Mei nadhani ndio Ligi inaisha.
No retreat no surrender ama ukipenda ya Mo Salah Never Give Up.
Umeuliza tulipotelea wapi. Ni hapa
Sare ya Brentford ugenini
Sare ya Chelsea ugenini
Sare ya Manchester City ugenini
Hizo gemu ilikua za ushindi lakini wachezaji walisinzia wakati muhimu sana matokeo yake ndio hii pointi 1 sasa inaonekana hapa.
YNWA
Eti mkuu..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yaani dah you made my day
Mkuu nimesema hio Manchester City maana ki ukweli ile gemu tulicheza vyema tulipopigwa goli tukisawazisha tulitulia tuliiii.Hapa sare ya Brentford na chelsea ndo zilituvuruga, sare ya Mancity ni bargain kutokana na quality yao na venue.
Kwanini mkuu?Hendo kama jina lake moja kati ya watu tunaowahitaji kuliko unavyodhani #YNWA
Yule refa wakishuka daraja kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 68 nakwambia watamsaka alipo ndugu yaaani itakua BIG ISHU aafu akatokea mkuu wa marefa kuwaomba msamaha Everton pale ndio kabisa alitifua mambo. Yaaani VAR hata kumshauri refa akacheki mwenyewe pale kwenye ki TV hakuna...Na ile everton alionyimwa na man city😃😃😃 ile point ilituumiza wote everton na liverpool.
Mkuu Brighton hua wakiwa na kikosi kizima wanakwenda na sisi jino kwa jino katika gemu 4 za miaka ya hivu karibuni tumeshinda 1 na wao wameshinda 1 na tumetoka sare 2 hivyo utaona wakiwa kamili hua wanatumudu vyema tu.Mimi nasema gemu ambazo zinaweza kuwa sababu ya kutunyima ubingwa ni liverpool 2-2 brighton, na leicester 1-0 liverpool hii gemu leicester walikuwa na injuries Kibao Salah na Mane waliunderperfom sana
Mkuu hatuna kingine zaidi ya imani.Gemu na aston villa bro man city ajipange, tukishinda zetu zote na huakika Captain Stiv G anatupa kombe. Sijui ni kwa nn ila nina amin ivyo
Mkuu Brighton hua wakiwa na kikosi kizima wanakwenda na sisi jino kwa jino katika gemu 4 za miaka ya hivu karibuni tumeshinda 1 na wao wameshinda 1 na tumetoka sare 2 hivyo utaona wakiwa kamili hua wanatumudu vyema tu.
Leicester ile ilikua hatukua clinical maana hata Rogers mechi ile alicheza na mark shift back line ajabu walituzima safi kabisa.
YNWA
Wewe mwenyewe una game za villa ,kama Steve g anawapenda Sana ,basi akaongee na bodi ya ligi mpewe point za bure dhidi yake [emoji23][emoji23][emoji23]Gemu na aston villa bro man city ajipange, tukishinda zetu zote na huakika Captain Stiv G anatupa kombe. Sijui ni kwa nn ila nina amin ivyo
inauma kweli, sijui tutumie mbinu gani kuondoa utawala wa City, 2018/19 kombe lilikua lakwetu kabisa kuliko msimu huu ila tulufeli wapi sijui
Kabisa mkuu, maana walijua kufungwa lazima wafungwe tu ila yule Dogo Gordon alitupeleka mkuu sijui aliikamia game?Kipindi cha kwanza mpira ulichezwa dakika 28 tu yaaani dakika 20 hawa Everton walizipoteza kwa kuanguka hovyo nk....
Ilifika mahala mtangazaji Jim Belgian akasema Lampard anatumia mbinu za El Cholo maana ule mpira wao wa leo ligi ya Uingereza hauchezwi vile kabisaaaa.
YNWA
Akili yangu inaniambia liverpool wachukua hili kombe..Kwakweli Klopp katengeneza Timu nzuri sana lakini ukweli ni kwamba katengeneza Timu katika Kipindi kisicho sahihi cha Utawala wa Pep Guardiola.
Mpaka sasahivi mafanikio tukiyopata tulistahili zaidi ya haya.
Nahofia Pep kuwa kama Ferguson kutamba kwa almost 2 decades.
Na upo uwezekano mkubwa wa Klopp kuondoka EPL bila ya kubeba tena Kombe la EPL.
Yote maisha haya.
IView attachment 2199391
Aerial Monsters. No joke.
Magoli 13 ya vichwa sio haba na bado ina mechi kadhaaa.
YNWA