Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Origi sio mchezaji mzuri ila wakipangwa wachezaji 10 wa epl wenye kismati ya kufunga Og na 1
 
Wakuu, hivi msim ujao hatuta kuwa na Origi? [emoji24][emoji24][emoji24] Honestly jamaa ni game changer aisee.
Ni muda mwafaka Origi sasa aodoke kwa faida yake, ni kwamba anahitaji dakika nyingi uwanjani na kwa LIVERPOOL hawezi kuzipata kutokana na wanaomtangulia tazama pale mbele Bobby, Diaz, Salah, Jota, Mane, Ox, Taikumi kwa msimu huu hawa nadhani wana dakika nyingi kuliko Origi.

Japo ana magoli yake ya ki legend lakini hayajamsaidia kutokua bench warmer pale Liverpool hakika namtakia mema Ac Milan.

Pale AC Milan akijituma hivi naona akipata namba kikosi cha kwanza.

YNWA
 
Hivi kweli tunashindwa kumtoa sadaka japo Handerson ili Origi abaki
Umetumwo na naniii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Le Captain yupoooo mpaka kama vile 2024 au 2025 πŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏimagine bado kijana na anacheza hivi je akishakua sogea miaka itakua ajeeeee.

YNWA
 
Ila leo nimefurahi kapteni wetu alipumzika kama Magwaya alivyopumzika Jana.

Kuliko kumuuza Origi ni bora akaondoka Huyu Jordan jamani.
 
Ila leo nimefurahi kapteni wetu alipumzika kama Magwaya alivyopumzika Jana.

Kuliko kumuuza Origi ni bora akaondoka Huyu Jordan jamani.
Jordan Henderson ana zali tu yule dogo kua Kapteni wa Liverpool maana ukitazama kwenye stat kama kigezo cha huo Kapteni wala hatomboi...ukimlinganisha output yake na MF za washidani wetu ama pia kwa baadhi ya wachezaji wetu pale utaona

Yaaani akiwepo uwanjani na asipokuwepo hakuna tofauti yotote kimatokeo sana sana naonga anacheleweshi mashumbulizi na yale ma back pass yake.

Ana impact ya kawaida sana klabuni japo kigezo hua wanasema ni mhamasishaji mzuri sana pale inapohitajika huko vyumbani hua anasimama vyema sana kama Kapteni lakini uwanjani olololo badoo sana.

YNWA
 


Taarifa inayofurahisha Jumapili jioni ni kama hiiiii πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

YNWA
 


Sky is the limit for this Scot boy.

Hivi mliona alivyookoa ile pasi ya Ali bila yeye kutua pale lile ni goli.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…