Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee kumbe upoooooo maaana baada ya kile kipigo cha Wembley ni kama ulipunguza matembezi humu karibu tenaaa aisee.

Kila mmoja ashinde mechi zake ndugu huku ramli kama kawaida kwetu maana usipotoa sare ama upigike moja hakuna namna Manchester City mtakua mabingwa tena msimu huu.

Haya over to you Klopp kazi kwako kumjibu Kipara na kesho atakua anaangalia mechi ile.

YNWA
 
Binafsi nimeshakata tamaa na Ligi, matumaini yangu yapo tuu UEFA na fainali FA,

Tumezinduka lakini tumechelewa kutokana na aina ya timu tunayoshindana nayo, City huwa anaanza msimu kwa kusuasua pale ndipo nafasi ya kuwapiga gap na kuwa na consistency, ligi ikichanganya huwa hawakamatiki, we are good ila zile sare za chelsea na Brentford ilitakiwa tupate points tatu,

Tukutane next seazon klop aimarishe kikosi na atoe kina keita, Ox, alete watu imara timu ianze ligi ikiwa imara na consistency ndio tutaondoa huu utawala wa City

inaumiza kupoteza kwa point 1 ila daah ndio football
 
Si point 1 tu nachoamini gape litaongezeka
 
Anything can happen.

YNWA
 
Ubingwa wetu msimu huu acha kukata tamaa mapema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…