Nimeangalia hii picha nimegundua apart from Individuals issues ila united pia wana tactical issues, kivipi?
Kwenye picha Liverpool anabuild play in 3-1 shape, wakati United anapress kwa 4-4-2 shape, liverpool ana extra advantage kwenye first line sababu ana numerical superiority 3v2, yaani watatu wanapressiwa na wawili wa united,
kwenye last line ana 6v4 wachezaji wanne wa United wanablock watu sita. Sikuangalia mechi so sijajua kwenye settled play walikuwa wanashift vipi defensive shape, may be walikuwa wanadefend na back 5.
So Rangnick angefanya nini?
Binafsi ningemshauri Man mark Fabinho ili kupunguza circulation kwenye midfield anaporeceive mipira from the first line, so Liverpool either wangecheza long balls kuitafuta settled play thru 1st & 2nd balls winning or Thiago adrop kwenye deeper areas kureceive, so shape ingechange kuwa 3-2-5 ingempa Rangnick ahueni sababu kwenye last line ingekuwa 5v4 then kama mchezaji mmoja wa united angedrop kuform back 5 ingematch up kuwa 5v5. So wangefungwa may be kwa kukosa intensity na sio tactical aspect of the game. Lakini kwa hali ilivyo inaonesha United wanakosa proper structure na wachezaji wengi ni toxic players.