Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Kumbe kuna thread ya Manchester City jamani...Pain killer yupo kule kwenye thread yao ya man city anajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mkuu ikawa kama umewachongea! Wamefurumushwa ni hatari!Hawa brighton mbona wanatupambania hivi daaah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] upo mkuu yaani yuko pekeyake anashangilia mwenyewe na mwenzake haonekani kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe kuna thread ya Manchester City jamani...
Atakua yeye na yule shabiki mwingine alivamia uzi hapa wiki ileeee
YNWA
Hahahahahaaa! Kuwa mnatangulia na mzigo usio wenu inachosha sana,ni sawa na ndoto ya kuhesabu hela nyingi ukiamka hivi huna.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji870]
Aisee hivi Kawe Rangers bado wapooo watalaam wa kombe la mbuzi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😀😀😀😀😀😀😀😂Wakuu
Bado tunaruhusiwa kupoteza muda kujadili manure?
Si bora hata kujadili Kawe rangers ?
HahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhArsenal kamkimbiza OllaChuga Oc [emoji1787][emoji1787]
Yaani najuta kusema vile.....walipelekewa moto kuanzia hapo hadi hatari.Yaani mkuu ikawa kama umewachongea! Wamefurumushwa ni hatari!
😂😂😂😂🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Colombia kama Italy watakua watalii Qatar 😝😝😝awamu hii wamechemka.Hivi Wala pizza nao chali kumbe hawajavuzu😳😳 kiruuuu mbutaaa...
Hili kombe la Dunia litakuwa la mchongo. Vip wanangu wa Colombia wamefuzu? Wananzengo wale nawakubali saanaa 😀😀😀
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Ndio maana anatua mazima humu kula good time hahahaha hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] upo mkuu yaani yuko pekeyake anashangilia mwenyewe na mwenzake haonekani kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tangu aambiwe hii ishu yake ipo ya kuumia mara kwa mara ipo zaidi akilini mwake hivyo imempa uoga usioisha na kuambiwa ajirekebishe ajiamini naona kama sasa namba 8 anaanza kuitendea haki aisee.Bora apewe mkataba mpya aisee
😂😂😂😂😂😂😂😂@lembu nini jamani kimetokeo jana aisee.Nyie😂
Ollachuga kumbe mmetandikwa na ase8 na husemi🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@lembu nini jamani kimetokeo jana aisee.
YNWA
Furaha ya nini wakati hata sisi na nyie sio washindani tena? au wewe ni Arsenal nini?lembu
Ilikuwaje jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliacha hf 2-2
Hakiyanani nimefuraaaahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Darajani washaregea aisee mpaka Arsenal jana kajipigia na kuamsha matumaini ya Top 4 upya.lembu
Ilikuwaje jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliacha hf 2-2
Hakiyanani nimefuraaaahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimefurahi tuFuraha ya nini wakati hata sisi na nyie sio washindani tena? au wewe ni Arsenal nini?
Matokeo hayo hayatabadilisha misimamo ya Chelsea na Arsenal kwenye top 4
Arsenal itaendelea kuisikia top 4 kwenye magazeti na mitandao na sisi kwenye nafasi ya tatu hatutoki hadi afe mtu