Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Ama kwao Salah au Firmino wangekua na utulivu wangetupia moja.Ila nahisi kama bado dakika zingetosha huenda mahrez angechafua hali ya hewa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuna wapiga kelele tumeshawazima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mara moja kwa msimu mzima, hakuna kitu pale, Grealish anasifa ya kukaa na mpira tu hadi akwatuliwe ndio sifa yake kubwa, City waliliwa hapoNdio leo Grealish aonyeshe bei ya £100m ilikua sahihi kununuliwa.
YNWA
Vijana[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nadhani baada ya kumkosa Messi na Kane ni kama walivurugwo aisee.Mara moja kwa msimu mzima, hakuna kitu pale, Grealish anasifa ya kukaa na mpira tu hadi akwatuliwe ndio sifa yake kubwa, City waliliwa hapo
Hahaha ma kocha wanaohusika na kona kufunga na kuzuia hakika kazi yao imeeleweka vyema sana.Vijana[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Huyu konate safari hii ana kismati[emoji7]
Jana anapiga vichwa balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hahaha ma kocha wanaohusika na kona kufunga na kuzuia hakika kazi yao imeeleweka vyema sana.
YNWA
Urefu anao hivyo anautumia vyema kutafuta mpenyo kutupia kichwa safiiii.Jana anapiga vichwa balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji110][emoji110][emoji110]