Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahhahahah wana Liverpool tutambe tu Leo city ana hali ngumu niliwaambia mapema sana asipikua makini atalambwa nyingi...
 
Asilimia kubwa ya mashabiki wa Liverpool huwa hawajisifu saaana kuwa wao ni bora, nashangaa watu wanavyo jisifu kuwa wanaenda kumpiga man city direct acha dakika 90 ziongee matokeo yoyote mimi nitayapoke [emoji2969]
Kwa hiki kikosi cha city alichotupangia leo ingekua dhambi kama ningeacha kutamba...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo ndo siku ya kumuoshea kipara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…