Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi nishaona kikosi ,matokeo yeyote ni poa tu kwangu ....!
Aisee yaani kiungo chenu ovyo kabisa... Halafu nikiangalia Leo Klop kapanga kikosi navotamani yaani ni full mashambulizi mtajuta nakuambia we subiri..
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asilimia kubwa ya mashabiki wa Liverpool huwa hawajisifu saaana kuwa wao ni bora, nashangaa watu wanavyo jisifu kuwa wanaenda kumpiga man city direct acha dakika 90 ziongee matokeo yoyote mimi nitayapoke [emoji2969]
 
Haijalishi pep kapanga kikosi namna gani, mnaweza kututoa FA mkuu.
Huu mkoko wa Liverpool,daaaa ......bila kuwa na walker ,Rodrigo , kDB, Ederson cancelo alooooo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…