Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Picha ndio ilienda anfield au ni mimi acha dhambi zako wewe
Nitafute sifa kwa nani afu picha ndio ilienda anfield ama ni mimi ndiye nlienda anfield? Haya bhana
 
Mimi binafsi napenda tukutane na Madrid maana city tunakutana nao FA tukimfunga huko ucl hatokubali tumfunge ni nani atakubali kufungwa mara zote?

Hili la Kucheza kwa kumaliza ratiba itatutoa kwenye mipango UCL tutaanza home afu tuende kule kwako tunatakiwa tumalize game home
 
Mpango ni ule ule kila mmoja ashinde mechi zake hakuna kingine.

Kwanza tuwabamize Manchester City kesho na Manchester United Jumanne hii itatupa morale kubwa mno kusonga mbele.

Kama kawaida tuchukulie kila gemu moja moja na leo tupo Wembley.

Fainali tukifanikiwa kuputa hakika awe Real ama Citizen hakuna namna tutapambana ushindi tu. Nina imani na vijana hawana papara wametulia vyema sana hawana presha mpaka sasa.

Japo kwa mbali Jumapili ile gemu pale Ethad tulianza kwa kusuasua lakini nina imani Klopp ataliweka sawa.

Upana wa kikosi na uzima wa wachezaji ndio kete yetu kuu kupata ushindi.


YNWA
 
huu mfumo unakua mzuri ukiwa na kiungo holder wa mipira kama Bernado Silva, sio mtu wa kutetemeka tetemeka, ila hata Jones sio mmbaya sana kwa huu mfumo. Bayern ndio kinachowakumba wanaucheza huo mfumo ila watu hawana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…