Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Akili yako haipo sawa ndio maana nimekuambia hujui maana ya current, CWC mashindano yake yamesha anza??
Bro jipime akili kama mshindano mengine hayajaanza bingwa anahesabika nani?Hayajaanza ndio maana nakushangaa unasema chelsea kashachukua[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe umekula ugolo wa buza nini
Bro jipime akili kama mshindano mengine hayajaanza bingwa anahesabika nani?
Tatizo unaongea kwa kuangalia mpira kwenye tv ushawahi kwenda hata Ethihad acha zako game yetu uliomba iishe kwa ile sare acha ushabiki wako ongea kimpira weweNyie piteni vichakanj kucheza game za Europa then mje final ya CL muone wanaume tutakavo wagonga na kuwachapa kipigo cha mbwa Koko [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nikikumbuka comments zako wakati msimu unaanza, kuweka akiba ya maneno ni jambo bora sana ingawa kwenye ushabiki hutakiwi kuweka akiba ili nafsi itulieKwa Sasa liverpool ni timu Bora sana muko kwenye peak na hii chance kwenu ya kufanya vizuri msimu huu ..hongereni kwa Hilo ..sisi Chelsea bwana alaah tunajipanga msimu ujao.
#CFCπππ
Hata EPL ni kama tupo fainali tunasubiri mshindi kati yetu na cty
Akiweka akiba hiyo sio ushabiki.Nikikumbuka comments zako wakati msimu unaanza, kuweka akiba ya maneno ni jambo bora sana ingawa kwenye ushabiki hutakiwi kuweka akiba ili nafsi itulie
Sasa Hawa Liver watakubali mubebe makombe yote mawili? EPL na UEFA πππMkuu Hawa hawana ubora wowote ,wanapita kichakani kufika final ya CL angalia wapopita et benefica , Villarreal,Sasa hii si sawa na Europa tu [emoji28]
Hata ukimuuliza taila ....
Man city Vs real Madrid
Liverpool Vs villareal
Ni ipi CL au Europa league ,lazima atakujibu kiusahihi kabisa ...
Hawa jamaa wanapita kichakani wakati sisi wanaume tunapita kibingwa kabisa [emoji28]
Kwa hiyo mkuu Man city mumeamua kabisa kutaaka kuvunja rekodi ya kubeba FA, EPL na UEFA ..kwamba kesho munamtoa liverpool..ππKesho tunaenda kuwatoa fa [emoji28]na hayo maneno ya kuaduraboooobooooo yatakuwa yameisha ...!!
Kuwekaa akiba ya maneno ni ngumu kwa sababu ya ushabiki ..Kila mwenye timu yake anatamani ishinde makombe mengi ndio maana ninyi liverpool munatamani hiyo itokee..Nikikumbuka comments zako wakati msimu unaanza, kuweka akiba ya maneno ni jambo bora sana ingawa kwenye ushabiki hutakiwi kuweka akiba ili nafsi itulie
Kuishabikia liverpool ni usaliti mkubwa sana nitakuwa nimefanya. Huu msimu muko faya aise musipobeba hata angalau uefa au EPL duh nitawashangaa sana ..ila msimu ujao kwa watu kama Salah, Mane, Firmino Kuna wezekano wakapwaya na kiwango kushuka. Hivyo huu ndio msimu wenu Sasa..πππInabidi sasa uungane kutushabikia hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha woooyowooyowooyoooAliyeshika simu ya chugastan afanye kuirudisha kwa mhusika tafadhali
Naona kwenye media na wachambuzi majuu wanaadika hivyo wengine wakisema yupo karibu ku saini sasa.Hi Kops
Hizi habari za Mo kupewa 400,000 ni kweli na deal done au uzushi?
Kwa hiyo mkuu Man city mumeamua kabisa kutaaka kuvunja rekodi ya kubeba FA, EPL na UEFA ..kwamba kesho munamtoa liverpool..ππ