Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa Sasa liverpool ni timu Bora sana muko kwenye peak na hii chance kwenu ya kufanya vizuri msimu huu ..hongereni kwa Hilo ..sisi Chelsea bwana alaah tunajipanga msimu ujao.
#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
 
Kwa Sasa liverpool ni timu Bora sana muko kwenye peak na hii chance kwenu ya kufanya vizuri msimu huu ..hongereni kwa Hilo ..sisi Chelsea bwana alaah tunajipanga msimu ujao.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Mkuu Hawa hawana ubora wowote ,wanapita kichakani kufika final ya CL angalia wapopita et benefica , Villarreal,Sasa hii si sawa na Europa tu [emoji28]

Hata ukimuuliza taila ....

Man city Vs real Madrid

Liverpool Vs villareal

Ni ipi CL au Europa league ,lazima atakujibu kiusahihi kabisa ...

Hawa jamaa wanapita kichakani wakati sisi wanaume tunapita kibingwa kabisa [emoji28]
 
Kwa Sasa liverpool ni timu Bora sana muko kwenye peak na hii chance kwenu ya kufanya vizuri msimu huu ..hongereni kwa Hilo ..sisi Chelsea bwana alaah tunajipanga msimu ujao.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Inabidi sasa uungane kutushabikia hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie piteni vichakanj kucheza game za Europa then mje final ya CL muone wanaume tutakavo wagonga na kuwachapa kipigo cha mbwa Koko [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huyo Benfica ni giant club Europe kabla hata hujazaliwa dogo . Unajua anamataji mangapi ya UEFA??
 
unahistoria gani na UEFA tofauti na kucheza fainali ambayo ulikazwa na Kai?
Yaani wewe kwenye club bingwa huna ushuhuda unaweza ukatoa.

By the way katika football mimj siamini mambo ya historia ,kwani hizo historia hazina msaada wowote kwenye current football,au kupambana kwenye pitch ...hatuna CL na hata tusipochukua huu mwaka hakuna tatizo lolote .... Nottingham forest ana CL 2 Sasa yupo wapi ,historia ya kuchukua hizo CL 2 haziwezi kumrudisha hata kuja kucheza PLπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwan hata kwenye current football unanini? Yaani wewe mjomba linapokuja swala la mafanikio unatakiwa uwe unasubiri tu, haya current mpaka sasa LFC ina league cup( carabao) , chelsea ina CWC , wewe una nini??
 
Wewe ni falaaaa msimu umeisha au unatingisha wowowoo humu kupachikwa ukuni ...CWC imechezwa lini kinabo wewe ,hio si mwaka Jana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wewe ni falaaaa msimu umeisha au unatingisha wowowoo humu kutapachikwa ukuni ...CWC imechezwa lini kinabo wewe ,hio si mwaka Jana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa maana hiyo hujui hata maana ya Current , kenge wewe hiyo unawaza ni future.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…