Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mie high line bado siikubali mpaka mwisho
Mkuu bila MF wa uhakika hakuna namna kwa mfumo wa Liverpool ulivyo Robbo na Trent ni MF maana wao ndio creators kazi ambayo kwa timu nyingi zinafanywa na MF...tusubiri msimu ujao tuone kama rasmi sasa Klopp anakwenda na 4 3 2 1 especially baada ya kumpata Fabio na pengine Bissouma.

Twende na high line ila kuwe na nidhamu kujua muda gani kucheza offside.. Hata hivyo jana Fabinho hakua mchezoni nimeona media nyingi zimempa rate ya 6 jana hivyo akiwa ndio DM na amepoteana hakuna kingine zaidi ya mabeki kuzidiwa.

YNWA
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uzuri liver inashinda mara nyingi kwahiyo full burudani yaani afu yeye anashabikia mitakataka ikiyokwama darajani.
Khaaa asa unamsaidia aje huyo maana Daraja ndio hili

Yaaani baada ya kuodoka Roman wamekua kama yatima hawana mwenyewe.

YNWA
 
Hivi mkuu huoni our WCP wameleta uefa, super up, CWC Yan makombe makubwa makubwa na bado sisi ni mabingwa watetezi ..Sasa ninyi players wenu kwa Jin's walivyo wa kawaida basi kwa kubeba carabao kwao ni ushindi tosha. Sisi ni Chelsea bwana alaah πŸ’™πŸ’™πŸ’™ ..tuna WCP ambapo Kila timu itahitaji huduma zao ..niambie ni wapi Werner au Harvet, au kante anaweza kosa namba? Sasa huyu mfano Jota au Diaz hao ata pale arse8 hhawapati namba🀣🀣🀣
 
Haya namba walizopata zimewafikisha wapi sasa??mbona akina Jota wamewachakaza?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa maneno tu haujambo.
Twende na Data sasa hakuna maneno hapa.

Huyo Jota mtazame ana goli 21 msimu huu sawa na magoli ya Lukaku + Werner πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ukichukua magoli ya Kai+ Lukaku bado hawapati magoli ya Salah aafu unasema una wachezaji kiwango cha dunia.

Haya ngoja tuwaone kesho mastaa wako wakifanya jambo lao pale Madrid.

Wafungaji bora Liverpool msimu huu.



Tazama hapo chini uone mlivyo achwa mbali na vijana wa Klopp kusaka magoli. Yaaani kila baada ya dakika 197/196 mfungaji wako bora anatupia goli..sasa tazama rekodi ya Jota unaemkataa pamoja na dogo hachezi gemu zote lakini kila baada ya dakika 137😁 anatupia goli... Acha kumlinganisha Jota na hawa wachezaji wako wa bei ghali lakini magoli kusaka ni mizigo.

Kai mfungaji bora kwako ana magoli 13 huku Jota wa bei chee ana magoli 21 akiwa nafasi ya pili Liverpool. Kinara Liverpool ni Salah ana magoli 28.

Ubao wa wafungaji bora Chelsea msimu huu.



YNWA
 
Anakuchoshaa bure huyo Ollachuga.

Katapotea tena jinsi watakavyotandikwa na RMadrid[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anakuchoshaa bure huyo Ollachuga.

Katapotea tena jinsi watakavyotandikwa na RMadrid[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Apambane na hali yake kama kweli yeye kidume cha UCL anavyojitapa basi amtemeshe Real Madrid ushindi nyumbani kwake.

Arejee hapa akiwa subiri aidha Kipara ama El Cholo aache maneno matupu sisi tunataka ubao usome mshindi sio bla bla za humu. Ni kesho sio mbali.

YNWA
 
Yaaani hii Liverpool utaipenda tu. Kocha mshkaji hana mambo mengi mashabiki kidakidaki balaa na wachezaji ndio wale hawana makuu ni humble guys.

Liverpool the Great.

Hate us love us, we are who we are and we are the Real Reds.

YNWA
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
YNWA [emoji108]
 
Nasubiri tu ntakavyomzomea Ollachuga [emoji1787]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uzuri liver inashinda mara nyingi kwahiyo full burudani yaani afu yeye anashabikia mitakataka ikiyokwama darajani.
Angalia kesho tunamfanya Nini Madirid..sisi fainal ni uhakika tunasubiri takataka kama liverkuku au takataka yeyote tuichabange...
Sisi ndio Chelsea bwana alaah πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ’™πŸ’™
 
Wakaribie Liverpool chama kubwaπŸ˜‚πŸ˜‚
Waachane na timu za ajabu🀣🀣🀣
Kuliko niwe shabiki wa liverpulu Bora nikanywe zangu wanzuki nilale TU..

Hii utopolo isiyo na mbele Wala nyuma kwanza ingetokea mumepata sunctions kama zetu sisi vidume aise wachezaji wenu wangashagoma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…