Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,473
- 32,926
Kwetu Liverpool tunasema "NEVER SAY DIE"....Its not over till it is overm. Mashabiki wa mancity hawanaga akiba ya maneno.. wengi waliamini watatufunga liverpool... Ila wajue mungu yupo upande wetu na sio upande wa hao wauza mafuta wa uarabuni[emoji1787][emoji1787]
Carabao ndio kombe pekee mutabeba msimu huu.UCL ipi unazungumzia hii ambayo mguu mmoja tupo nusu fainali tunawasubiri Bayern ama wale vijana wa Unai?
Kwanza msimu huu wengi walisema hatupo kumpamba kombe lolote lakini waulize vijana wa Darajani pale Wembley kiliwapata nini huku Carabao ikitua Anfield.
Hii Liverpool nikushauri mapema tu ni kwamba uwe na maneno ya akiba. Maama its not over untill its over.
We believe.
YNWA
Jumapili piga hizi kuku maana zimezidi ngebe zinajiona zenyewe basi ndio timu Bora kumbe ni upepo TU umewatembelea..halafu tukutane Wembley nikukuleπππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee nguvu ya kuongelea City unatoa wapi? Wakati huu uzi wote wakisikia city wanainuka na kusalimu khaaaah.
Pambana na hawa wenzio wa humu, city sio Level zenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OllaChuga Oc una kifua ndugu yangu.Carabao ndio kombe pekee mutabeba msimu huu.
Sema karoho kalikuwa juu juu haha pole ..mimi ndio maana siangaliagi mpira ..nafuatilia laivu skoo, tukishinda ndio naenda zangu Yu tube kucheki hailaits, tukifungwa wooi ata sujusumbuiπ€£π€£π€£π€£Siendi ng'oo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwezi amini nimefanikiwa kumaliza mpira.
Lukaku the Great ni mfumo TU umemkataa, huyu takataka Jota akienda mfano Madirid anapoteana ..ni mchezaji wa kawaida sana Hana maajabu yeyoteView attachment 2183390
Itabidi Lukaku awe anaangalia clip za huyu dogo namna ya kuji position ili arejeshe makali yake.
Anagoli 15 EPL. Tuliambiwa tumepigwa kwa huyu mwamba mpaka sasa kawazima kidomo wakosoaji wa bei yake.
Jota Magoli.
YNWA
Mzeee pale tunapindua meza mapema sana subiri uone kitakachotokea. Ni mwendo wa kutowa dozi adi kieleweke..Hivi wewe huyu Manchester City ulimfunga??
Kwanza Jumanne kamalizane na Karim anakusabiri Los Blonco ana jambo lake.
Mzee wa Cuban Cigar anasema mtajua hamjui.
YNWA
Ukikusanya kwa pamoja magoli ya Lukaku na Werner bado hujafikia magoli ya Jota msimu huuππ.Lukaku the Great ni mfumo TU umemkataa, huyu takataka Jota akienda mfano Madirid anapoteana ..ni mchezaji wa kawaida sana Hana maajabu yeyote
Na iwe hivyoooo.Mzeee pale tunapindua meza mapema sana subiri uone kitakachotokea. Ni mwendo wa kutowa dozi adi kieleweke..
Nasemaaje, sisi ndio mabingwa watetezi.
#CFCπππ
Sawa, sheikh YAHYAHebu mjipange kwa msimu ujao tyuuuh, huu mwaka sio wenu kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na UCL hamna chenu, uwiiiiiiih
Hao wachezaji wenu ni wakawaida sana siyo WCP labda Salah ndio ana thamani hiyo ya world classic player.Ukikusanya kwa pamoja magoli ya Lukaku na Werner bado hujafikia magoli ya Jota msimu huuππ.
Wewe haya jitoe ufahamu kumbali Inter aliwapiga Lukaku hana dhamani ya ile bei.
Kwamba msimu mzima Lukaku ameshindwa kwenda na mfumo wa Thomas basi mrudisheni Inter huyo ni mzigo.
Tazama Diaz kaja January hii na hajapata pre season lakini mishe zake utadhani tulimpata January 2021 kumbe anamiezi minne tu Liverpool.
YNWA
Kwahiyo unashangilia sare[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa mashabik mamluki wa shit NI TATIZO ZAIDI YA BEI YA MAFUTA..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtakuja kufa na pressure, city weka mbali na watoto.
Tupo hoi?? Wachezaji Wana spirit ya kushinda makombe, hawaitaji hela kwa Sasa..Na iwe hivyoooo.
Itakua powa kama kweli mna huo uwezo mfike nusu fainali mzidi kupiga ela maana mpo hoi mpaka pale mmiliki atapatikana.
YNWA
Kwa hio hao ma staaa wako ambao Liverpool hatuna wamekufikisha wapi EPL msimu huu.Hao wachezaji wenu ni wakawaida sana siyo WCP labda Salah ndio ana thamani hiyo ya world classic player.
Twende kwa Chelsea Sasa ..Lukaku WCP, Werner WCP, Havaert WCP, Pulisic WCP, Ziyech WCP, Mendy WCP, Rudger WCP, Silva WCP, nna madogo kama akina Mount, James...Sasa utafananisha na mtu kama Jota ama Diaz ambao hata pale manure namba wanawezaa kukosa? Kikosi Cha Chelsea chote kinacheza festXI ya timu yeyote Ile duniani na wakafanya vizuri ..hii liverkuku ni mfumo TU ndio unawabeba, tukimtoa klopp basi hii ni timu ya kawaida sana
#CFCπππ