Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,024
Kiujumla nimefurahi sana kwa matokeo ya leo hii.Hata mimi nimefurahi ila first half mke wangu alikuwa akinisemesha nimenuna tu macho yote kwenye tv [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu Saint Anne atakua anaangalia gemu man alone maana angeshemeshwa muda ule watukamata naona angemparua mtu si bure...Hata mimi nimefurahi ila first half mke wangu alikuwa akinisemesha nimenuna tu macho yote kwenye tv [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani haya.Tumpe Oxytocin injection kama ana Labour pain, na Tunategemea apate Pre Elampsia tumchome Magnesium Sulphate.
Mkuu umekosea ku posti hii ni ya kule darajani kwenu.Madrid tayari hana chake...
Muanze kukusanya kilicho chenu humu ndani maana kuanzia j5 hatutataka kumuona shabiki yeyote wa liverkuku humu.
Yaani nilikuwa pekeyangu nilijifungia..inaitwa weka mbali na watoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2969]Huyu Saint Anne atakua anaangalia gemu man alone maana angeshemeshwa muda ule watukamata naona angemparua mtu si bure...
Hakika gemu ilikua very sensitive.
Lakini haikua block buster kama mechi zingine za Liverpool vs Manchester City.
Nategemea kuona FA ikiwa gemu ya ushindani leo imepoa sanaaaaa.
YNWA
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umeona hujakimbia angalau hujazimia na umeona burudani.Yaani nilikuwa pekeyangu nilijifungia..inaitwa weka mbali na watoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2969]
Pole😂😂😂😂Mimi siangalii [emoji23][emoji23][emoji23]
Presha itanitesa
Acha kuleta porojo wewe ..huna timu ya kuifunga man shitye😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umeona hujakimbia angalau hujazimia na umeona burudani.
Sasa FA Jumapili tunakwenda kuwachapa kama wale vijana wa Darajani.
Leo kwenyewe walitubania mashabiki wawe kiduchu Ethad lakini Wembley kitaeleweka tu japo tunahitaji Klopp awaambie vijana waamshe tangu dakika ya kwanza sio kama leo walisinzia kazini
YNWA
Nilikuwa najificha mpira ukifika golini kwetu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona hujakimbia angalau hujazimia na umeona burudani.
Sasa FA Jumapili tunakwenda kuwachapa kama wale vijana wa Darajani.
Leo kwenyewe walitubania mashabiki wawe kiduchu Ethad lakini Wembley kitaeleweka tu japo tunahitaji Klopp awaambie vijana waamshe tangu dakika ya kwanza sio kama leo walisinzia kazini
YNWA
Wewe angekuchakaza mpaka ukomeAcha kuleta porojo wewe ..huna timu ya kuifunga man shitye
Wewe hufai kuwa shibiki wa mpira mkuu. ..wewe nenda kacheze rede TU😂😂😂🤣🤣Nilikuwa najificha mpira ukifika golini kwetu.
Kuna muda nikachungulia nikamuona matip wangu anaokoa kwa kutoa nje[emoji3059]
Our saviours[emoji3059][emoji3059][emoji7][emoji7][emoji2956][emoji91][emoji91][emoji91]
Huyu takataka man shitye anifunge mimi? Ngoja jumamosi akupasue pale Wembley alafu nikutane naye final fa ..ndio ujue sisi ni Chelsea na hatutanii ..Wewe angekuchakaza mpaka ukome
Mbona ameshindwa kutufunga sasa[emoji3]
Siendi ng'oo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe hufai kuwa shibiki wa mpira mkuu. ..wewe nenda kacheze rede TU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Nipo na Karim hapa anakusalimia SanaHuyu takataka man shitye anifunge mimi? Ngoja jumamosi akupasue pale Wembley alafu nikutane naye final fa ..ndio ujue sisi ni Chelsea na hatutanii ..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Hahahaha gemu ilikua ngumu sana na plan yetu ilitufanya kua ngumu zaidi.Nilikuwa najificha mpira ukifika golini kwetu.
Kuna muda nikachungulia nikamuona matip wangu anaokoa kwa kutoa nje[emoji3059]
Leo hata ningekuwa mimi ningesinzia aisee
Siyo kwa kupigwa dakika ya 5