Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Hii leo inaoneshwa channel no 223 DSTV, lazima niiangalie.View attachment 2182769
Aisee muda unazidi kusogea.
Hii gemu kuangalia inabidi uwe na moyo wa chuma maana hakuna kibonde hapa wote wanakutana wanajua.
Kwa wale wenye presha jamani mtazame na glasi ya maji pembeni kupoza joto.
YNWA
Hii ndio mechi yetu ya ubingwa leo tunahitaji kushinda tu na sio matkeo mengine, Baada ya Fixtures hii ya leo sioni Man city akidrop point tena kwa mevchi aizonazo.
Hata nyie mna match na wolves [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Anaweza kudrop Na wolves,ila tusitegemee afungwe yeye ndio sisi tuchukue ubingwa bali sisi kushinda kila mechi ikiwapo mechi ya leo.
Draw ???????tunawachinja hapohapo Etihad.Hata nyie mna match na wolves [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi naona kabisa hii game haiwezi kuamua nani bingwa .....
Hii game inaisha draw kwanza
Yeah live bila chenga.Hii leo inaoneshwa channel no 223 DSTV, lazima niiangalie.
Yeye aendelee kuchapa kaziDogo hana Makuu aafu sijui kwa nini mashabiki pale Anfield hawanaga mzuka nae kama Firmino na Salah lakini wala yeye hana mambo mengi ni kazi kazi kwake.
One of the most underrated player of all time pale Liverpool.
YNWA
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji3059][emoji108]
Kabisa tunamuombea mafanikio kwa kweli.Yeye aendelee kuchapa kazi
Sisi tulio na mahaba naye tunatosha kabisa [emoji23]