Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Yaani mpaka huruma ujue.Hakika Everton wakishuka hawa jamaa watakua na maisha magumu Sana...
Wewe una ugomvi na Le Captain 😂😂😂Kumbe kapteni wetu mpendwa alianzia benchi Jana[emoji16]View attachment 2178040
Le captain wa dunia🤣🤣🤣Wewe una ugomvi na Le Captain 😂😂😂
YNWA
View attachment 2178279
Duu hii jana mida mimbaya sana hawa ma pro wanafanya recovery kwa kuogelea.
YNWA
Robbo mapafu ya paka yule dogo yaaani mwanzo mwisho hua yumooo.Robbo na yeye japo siku moja moja awe anabeba Chuma
Yaani hawa Lukaku supa flop kwenye payroll na hakuna deliveri ya ushindi wanaanza kumuota Salah jamani hii imekaa aje maana Salah ninavyojua amesema anataka kubakia alipo kwa miaka mingi sana ijayo na hapo ni Liverpool.Rent Boys wanajazana ujinga eti watamnunua Salah kwa £100M