Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Huko tunaenda kumchezea possession football, atletico Hana mbinu za kushambulia zaidi ya kupaki bus ....timu ya hivi haiwezi pindua matokeo hata siku moja .......Kwa upande wako bado hamna uhakika,ndio maana unasema hivyo.
Safari hii kazi mnayo kule Spain.
Ngoja tusubiri jibu.Ana goli na assist ngapi mpaka saizi? Hana maajabu.
Haibadilishi tunaongoza goli 3 ugenini ndugu.
Wanakuja Anfield kama umeona hata Raisi wao alivyotingisha kichwa anajiuliza Anfield ndio wanatoka aje kifua mbele kama Estadio hali ndio hii.
Haya sasa ndugu yangu pale Wanda Metropolitano utapaweza?
YNWA
Ngoja tusubiri jibu.
Huyu alifaa kua mwanamtindo tu sio kwa ule mpunga.
YNWA
😂😂😂😂😂Kashavurugwo anawaza Jumapili itakua aje.Ukimuuliza hana uhakika haelewi itakuwaje kule.
Amepata hasira ndio maana amesema hivyo,sisi tayari mguu mmoja ndani.
Na wala hashindwi kwanza umeona leo ailvyokua mwepesi wa kufanya sub baada ya kuona kati hapana utulivu yaaani ukiwa na benchi kiwango unakua na kifua cha kufanya mabadiliko mapema vile kuleta composure pale kati na hakika sub zimekuja wakati mwafaka.Mkuu wachezaji wote wako fit hakuna majeruhi.
Klopp ashindwe yeye tu sasa hivi.
Huko tunaenda kumchezea possession football, atletico Hana mbinu za kushambulia zaidi ya kupaki bus ....timu ya hivi haiwezi pindua matokeo hata siku moja .......
Sijui kipindi kile waliwafanya Nini aisee ,waliwafinyia kwa ndani hapo hapo anfield [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo Benfica katua kule na ungo na hauna taa wewe msubirie kesho utamuona hapa.Nileteeeni OllaChuga Oc
Nileteeeni OllaChuga Oc
Nileteeeni OllaChugaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2177209
We are readyNyt Red Buddies.
Tupo half time kwenda Nusu Fainali.
Gemu ilikua kali balaa.
Ushindi huu ugenini sio rahisi maana Champions League ikishafika hapa hua lolote linaweza kutokea na leo vijana kama kipindi cha kwanza wamecheza vyema sana. Ingekua umakini katika kumalizia hi gemu ilikua tunashinda goli 5.
Goli kipa wao hakika yupo vizuri sana top top saves leo kutoka kwa Salah, Jota na Diaz.
Next game ni Jumapili EPL pale Ethad ugenini hivyo hatuna majeruhi mapya ni jambo njema na tuna momentum kali sana.
We are ready.
YNWA
Aise mukishinda Yani napata makasiriko ballaa ..Yani daah ..sisi ndio dawa yenu nyie kuku..😠😠😠Nileteeeni OllaChuga Oc
Nileteeeni OllaChuga Oc
Nileteeeni OllaChugaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2177209
Leo ulisema utasimama na BenficaAise mukishinda Yani napata makasiriko ballaa ..Yani daah ..sisi ndio dawa yenu nyie kuku..[emoji34][emoji34][emoji34]
Tumewapiga na kitu kizito Ollachuga hana hali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yupo Benfica katua kule na ungo na hauna taa wewe msubirie kesho utamuona hapa.
YNWA
Mane wetu[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2177269
Pain killer huyu ndio anakuja kukuzima hapo hapo Ethad maana ushalegea.
Nikukumbushe tu tunakutana mara 2 mwezi huu wa April (EPl na FA) hivyo uwe na utulivu maana ndio kwanza asubuhi ujue.
YNWA