Liverpool FC (The Reds) | Special Thread




Jamani Diaz kajaribu kumwambia Kocha Wake mbinu kadhaa kuwavaa Benfica lakini tatizo lughaaaa hawaelewani dakika 10 nzima Klopp anasikia kama anaongeleshwa lugha ya mwezini.

YNWA
 
Hawa atletico tusipowamaliza Leo basi watatupa kazi nyingine kule kwao Madrid......!
Kipara miyeyusho balaa kwamba hua anafanya majaribio mechi za mtoano like serious yaaani huyu jamaa.

Asipowapa UCl msimu huu ujue ndio bye bye maana hao akina Sterling, Debruyne, Bernardo nk kubaki kweny ubora wao itakua kazi ya ziada...

El Cholo anasema kwa sasa uhakika wa kombe kwake ni UCL hivyo mtegemee atawapa changamoto balaa.

YNWA
 


Haya mambo niaje niaje tena.

Kwa sasa tupambane kwanza na Benfica haya yatasubiri ama wakala wamelizane wenyewe bila kumtoa kwenye reli.

Nadhani leo ni mechi ya 9 hajafumania nyavu hivyo angalau akitupia leo itakua kiki balaa.

YNWA
 
Naona konate kafumania nyavu, hii mechi nimeitafuta niiangalie lakini wapi, DSTV nao wameniwekea ya MC vs ATM tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…