Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Huyu Klopp kama mashine aiseeHahaha yupo moto kafunga goli la 20 msimu huu na ndio mara ya kwanza kufunga goli 20 tangu aanze kucheza professional football.
Chini ya Klopp hakika sky is the limit kwa hawa ma dogo yaaani washindwe wao tu maana kila mbinu wanapata namna ya kujiposition nk
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]...
Ana akaunti yake twitter inaitwa no content haha anapiga ela sasa kimya kimya kama hayupo vile..
YNWA
Manchester United wanakuja Anfield ujue jiadae uwashukie uzini kuwapa updates pale Diaz anafanya jambo lake.Huyu jamaa anajituma mno aisee
Sometimes watu wanamuona mbinafsi lakini inasaidia.
Anapambana hadi mwisho,hategi
Siyo kama michezaji ya man u.
Hahaha ana jopo lake la walimu pale wamesheheni mbinu za kutosha.Huyu Klopp kama mashine aisee
Sijui anawatrain vipi hawa vijana wanakuwa wapambanaji mno.
Hivi hii mechi ni lini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Manchester United wanakuja Anfield ujue jiadae uwashukie uzini kuwapa updates pale Diaz anafanya jambo lake.
Kwanza kitendo cha Manchester United msimu huu wanatoka kapa bila kombe lolote mbona ni kiburudisho toshaaaa.
YNWA
Inaitwa failing to plan is planning to fail hahaha watajiju walitucheka sana enzi ya Fergie sasa mambo yamegeuka kwao hawana uhakika hata ya Europa msimu ujao.Hivi hii mechi ni lini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawaonea huruma.
Sijawahi ona timu inatia huruma kama man utd.
Unit yao sijui hata iko wapi
Bora wangejiita tu dis-united.
Kweli wapo wanaangalia biashara,Inaitwa failing to plan is planning to fail hahaha watajiju walitucheka sana enzi ya Fergie sasa mambo yamegeuka kwao hawana uhakika hata ya Europa msimu ujao.
Wewe uliona wapi kikosi kinajengwa kwa kutazama zaidi baishara kuliko matokeo uwanjani.
Wapigike.
YNWA
Hii mechi inaogopesha kiaina.
They're doing greatHahaha ana jopo lake la walimu pale wamesheheni mbinu za kutosha.
Tupo kamili.
Klopp ni fundi kwanza hua ha panic akiwa na kikosi kizima hua anajua ushindi utachelewa lakini utakuja tu.
YNWA
Aiseee interesting.
Aafu hizi timu zote hatujamalizana nao [emoji23][emoji23]bwana mambo ni mengi sana muda mchache.
YNWA