Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,909
Salah hakua na siku njema kazini Jumamosi lakini alivyotolewa Anfield nzima ililipuka kwa shangwe Mo Salah the King yaaani dogo anapendwa sana na huyu kwetu anatoshaaaaaaaa.Nimeipenda Liverpool kwasababu ya kuwa na wachezaji wakawaida sana sio world class lakini kulingana na ufundishaji wa Klopp wanatupa makombe, vijana ni wapambanaji, angalia signing ya Luis Diaz ni kijana asie na jina lakini ni mpambanaji. Sasa hawa kina sijui Mbappe mara Haaland wabaki huko huko.
Bobby is back yaaani Jmosi ndio mfano sahihi wa false 9 alicheza vyema sana ukizingatia Fabinho hakuanza hivyo Bobby ali drop sana kusaidia midfield kivuruga mipango ya upinzani.Macho yake yanaogopesha
Afu hata hacheki hovyo.
Btw nimeona Bobby pia anaupiga mwingi sana.
Hiyo Game bobby ni lazima aanze maana kama hendo ataanza basi mildifield itahitaji nguvu ya ziada kutoka juu, kushoto ntapendelea aanze Diaz na sio Mane kulia aanze Salah kama ilivyo. Mane hana utulivu hizi siku za karibuni katikati ntapendelea FAB3 THIAGO KEITA/HENDO ila Keita hapo ni first priority kwangu mimi.Bobby is back yaaani Jmosi ndio mfano sahihi wa false 9 alicheza vyema sana ukizingatia Fabinho hakuanza hivyo Bobby ali drop sana kusaidia midfield kivuruga mipango ya upinzani.
Best False 9 Duniani = Bobby Firmino
YNWA
[emoji23]Huenda mkuu [emoji23][emoji23]
Anaupiga mwingiBobby is back yaaani Jmosi ndio mfano sahihi wa false 9 alicheza vyema sana ukizingatia Fabinho hakuanza hivyo Bobby ali drop sana kusaidia midfield kivuruga mipango ya upinzani.
Best False 9 Duniani = Bobby Firmino
YNWA
Keita kwani kashapona asilimia 100, kwa hizi gemu mbili yaaani Benfica na Citizens tunahitaji wachezaji walio kamili.Hiyo Game bobby ni lazima aanze maana kama hendo ataanza basi mildifield itahitaji nguvu ya ziada kutoka juu, kushoto ntapendelea aanze Diaz na sio Mane kulia aanze Salah kama ilivyo. Mane hana utulivu hizi siku za karibuni katikati ntapendelea FAB3 THIAGO KEITA/HENDO ila Keita hapo ni first priority kwangu mimi.
Baldest Coolest Samba Boy.Anaupiga mwingi
Nimeona Fabinho alicheza Kwa kurelax Sana..ameingia dakika za mwisho na akatoka na Bahati ya penalt.
Hatutakiwi kuwa underrate Benfica hata kidogo , game ya mwaka juzi vs ATM tulimuunderrate kiasi akaja kutumaliza kwenye extra, Benfica still wazuri tena sana hivyo Klopp asijetest kikosi ni kuwapa Liverpool ya ubingwa.Keita kwani kashapona asilimia 100, kwa hizi gemu mbili yaaani Benfica na Citizens tunahitaji wachezaji walio kamili.
Akiwa mzima apate dakika kadhaa itamsaidia sana na pia hizi timu za Ureno tunahitaji ballers kupunguza makali ya kasi na ku recycle movement pale kati kazi hio Thiago na Keita ndio wenyewe.
Hawa Benfica wanakomaa kwa vile walituchapa 2005/06 UCL goli 3 basi wanaona wanaweza tena kushangaza dunia maana kipindi kile walituchapa tukiwa bingwa mtetezi ilikua proper headlines noma sana.
Kwa sasa wajiadae kwani UCL msimu huu ushindi ugenini na nyumbani kwetu kama kawa. Tutapambana.
YNWA
Klopp hajawa ku underrate opponent akiwa na kikosi kizima basi ujue atapanga mziki mnene.Hatutakiwi kuwa underrate Benfica hata kidogo , game ya mwaka juzi vs ATM tulimuunderrate kiasi akaja kutumaliza kwenye extra, Benfica still wazuri tena sana hivyo Klopp asijetest kikosi ni kuwapa Liverpool ya ubingwa.
Thiago anatakiwa awe fiti ikiwezekana timu ya Afya isimzingatie sana kwa sasa kwa viinjury vidogo. Thiago na Fab hii mids ni bora ukutane na Monster.
Yaani kimya anawapa watu kipigoBaldest Coolest Samba Boy.
Yaani kama vile hayupo uwanjani akifanya yake kimya kimya.
Whats a boy.
YNWA
Here we go[emoji91]
Hivi ndo mpira ulivyo sasa wanataka afunge sijui itakuaje kama straika wote wacheze staili moja?Leo kazi yake moja inaonekana mpaka sasa ni ball recovery na anaifanya kwa bidii kali sana.
YNWA
Yaani kimya anawapa watu kipigo
Hivi ile penalt ya Fabinho ilisababishwa na Nini mkuu??
Niliangalia ila sikuelewa.
Ila dogo kwa kweli hua ikiwa kwenye kiwango ni mapafu ya chui yaaani mbele yumo kati yumo popote anausaka mpira hakika ile false 9 ana hatimiliki nayo.Hivi ndo mpira ulivyo sasa wanataka afunge sijui itakuaje kama straika wote wacheze staili moja?
Boby ndo mchezaji muhimu zaidi pale mbele.
Kumbe kajota ketu kalipigwa[emoji1787]View attachment 2175544
Gemu iligeuka mieleka aisee Jota kapigwa KO...refa hakuona ilikua VAR ndio waliona wakamshauri Refa akatazame kwenye ki TV na hakua na kingine zaidi ya kutoa tuta na Fabinho being Cool Guy did whats he does best
YNWA
ππππππBhana acha kabisa jamaa hakuangalia mpira aliwaza Jota atafunga lingine la kichwa akaamua alala nae mbele design kama Steve Austin aka Stone Cold ππππKumbe kajota ketu kalipigwa[emoji1787]
Walirudisha ila sikuelewa..sasa sijui sikuangalia huo upande masikini mimi[emoji2296]
Nikaona tu refa anatoka,anaenda kwenye kitv..mara anarudi kutoa penalt.
Sasa nimeelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bhana acha kabisa jamaa hakuangalia mpira aliwaza Jota atafunga lingine la kichwa akaamua alala nae mbele design kama Steve Austin aka Stone Cold [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA