Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lazima waongee kishujaa mzee ni moja ya njia ya kuwa na confidence uwanjan ....wakiwa wanyonge saizi psychological uwanjan watakosa roho ya kupambana ....lazima wajivike roho ya simba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah coacher wa watford alitia huruma baada ya penati kupigwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila Thiango mfupi aisee

Wataalamu nielekezeni hapa penati imetokeaje tokeaje?
Sijaelewa chochote.
Mfupi ila ufundi mwingi, ukikuta mtu mfupi anapiga soka ujue analipiga kweli mfano bwana Messi, torreira, Thiago, Salah hao ni baadh tu wa miaka hii bila kusahau Marehem maradona
 
Kabisa

15 finals

That’s it!!

Jamani msisahau kuwaweka rent boys kwenye sala na maombi yenu

Wanateseka sana

Jana nilikutana na kijana mmoja wa chelsea anaongea peke yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeipenda Liverpool kwasababu ya kuwa na wachezaji wakawaida sana sio world class lakini kulingana na ufundishaji wa Klopp wanatupa makombe, vijana ni wapambanaji, angalia signing ya Luis Diaz ni kijana asie na jina lakini ni mpambanaji. Sasa hawa kina sijui Mbappe mara Haaland wabaki huko huko.
 
Mfupi ila ufundi mwingi, ukikuta mtu mfupi anapiga soka ujue analipiga kweli mfano bwana Messi, torreira, Thiago, Salah hao ni baadh tu wa miaka hii bila kusahau Marehem maradona
Wanajitahidi Kwa kweli

Na wewe mkuu ni mfupi nini?
 
Lazima waongee kishujaa mzee ni moja ya njia ya kuwa na confidence uwanjan ....wakiwa wanyonge saizi psychological uwanjan watakosa roho ya kupambana ....lazima wajivike roho ya simba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa kweli.

Kazi ipo.

Sie hatuna sana maneno zaidi ya vitendo kwa sasa.

YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…