Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Khaaa huyo jamaa yetu Chugga kapagawa maana jana darajani kapigwa aafu anawaota Los Blonco hivi hivi.Kabisa
15 finals
That’s it!!
Jamani msisahau kuwaweka rent boys kwenye sala na maombi yenu
Wanateseka sana
Jana nilikutana na kijana mmoja wa chelsea anaongea peke yake
Ngoja aje hapa Huyu Ollachuga tuone namna gani atawatetea takataka wake[emoji38][emoji38]Ushamalizana nae ama namna gani hatutaki kelele humu we need super concentration tuna fainali 15 za kucheza.
YNWA
Wanaupiga mkubwa mkubwa yaani [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Ma Handsome wako aafu wanaupiga mwingi sanaaaaaa.
YNWA
Our very own Fabinho[emoji38][emoji110]Hahaha kwa kweli maana ni Mr CH aka Cool Head.
YNWA
Kuna jamaa humu sijui ana hali gani huko aliko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee itakua na Mbappe au Erling Haaland anatua Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana ukiachana na Mo kutaka pound for pound contract tetesi ni kwamba alitaka uhakika wa wachezaji wapya kusajiliwa ili kujenga timu ya ushindi. Tetesi ni kwamba sio tu alipwe vizuri lakini pia awe anacheza na wachezaji wenye kiu ya kupambana na kushinda makombe.
Habari kwamba anasaini ni safi kabisa ni ujumbe mwingine wale ma pundits waliosema Liverpool ni timu ya kuuza imekula kwao sasa watulie hukoo kusubiria bosman players.
YNWA
😂 😂 😂 😂 Au Salah aodoke tumlete Baunsa Traore jamani hivi kweliiii tumlipeee 500k hivi hivi.Kuna jamaa humu sijui ana hali gani huko aliko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana kwanza alipumzishwa kwanza awe tayari kwa pambano la Benfica.Wanaupiga mkubwa mkubwa yaani [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Itifaki ilizingatiwa[emoji38]Jana kwanza alipumzishwa kwanza awe tayari kwa pambano la Benfica.
Japo jana Mane ile penati aliitaka sana tu lakini muhimu kufuata protokali kama hayupo uwanjani Salah basi Fabinho ndio mwenye tuta lake.
YNWA
Hakuna Cha kuondoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Au Salah aodoke tumlete Baunsa Traore jamani hivi kweliiii tumlipeee 500k hivi hivi.
Wenye kusema ndio[emoji849][emoji849][emoji849]
Wenye kusema hapana [emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
Angekuwa Kepa hapo tungeongea mengine[emoji1787][emoji1787]Khaaa huyo jamaa yetu Chugga kapagawa maana jana darajani kapigwa aafu anawaota Los Blonco hivi hivi.
Nakumbuka tulivyotoa sare na Brentford maneno yaliwatoka mno haya sasa jana wamekaa tena nyumbani na bila ubora wa Mendy zingekua nyingi tu hahah EPL raha sana ina ma sapraizi muda wote na usivyotegemea.
YNWA
I don’t see Mo being that arrogantAisee itakua na Mbappe au Erling Haaland anatua Liverpool 😂😂😂😂😂maana ukiachana na Mo kutaka pound for pound contract tetesi ni kwamba alitaka uhakika wa wachezaji wapya kusajiliwa ili kujenga timu ya ushindi. Tetesi ni kwamba sio tu alipwe vizuri lakini pia awe anacheza na wachezaji wenye kiu ya kupambana na kushinda makombe.
Habari kwamba anasaini ni safi kabisa ni ujumbe mwingine wale ma pundits waliosema Liverpool ni timu ya kuuza imekula kwao sasa watulie hukoo kusubiria bosman players.
YNWA
Ndio maana nacheka sana leoKhaaa huyo jamaa yetu Chugga kapagawa maana jana darajani kapigwa aafu anawaota Los Blonco hivi hivi.
Nakumbuka tulivyotoa sare na Brentford maneno yaliwatoka mno haya sasa jana wamekaa tena nyumbani na bila ubora wa Mendy zingekua nyingi tu hahah EPL raha sana ina ma sapraizi muda wote na usivyotegemea.
YNWA
Hatalipwa 500k😂 😂 😂 😂 Au Salah aodoke tumlete Baunsa Traore jamani hivi kweliiii tumlipeee 500k hivi hivi.
Wenye kusema ndio🙄🙄🙄
Wenye kusema hapana 😂😂😂
YNWA
He ain't greedy he just humble and a winner.. Whats he want is a squad built for serial winning not one time thing.. On that issue I stand with Salah. They are so many quality players out there forget about the next generation hyped players in Mbappe and Haaland.I don’t see Mo being that arrogant
They won without mbappe not Haaland
Fake news travels very chap MkuuHatalipwa 500k
That is impossible
Una mzungumziaje Julian au unazungumzia Epl tuKati ya Makocha Vijana walioibuka Lampard, Gerrard, Arteta, Terry na Rooney basi Arteta ndiye Kocha bora kuliko wote.
Nikitazama Financial support anayoipata Arsenal na nikitazama aina ya Wachezaji alionao halafu kumaliza Ligi ndani ya Top Four huku akitishia kabisa kuchukua nafasi ya Chelsea ya 3 basi ameonesha uwezo mkubwa sana.
Zikipita era za kina Pep na Klopp basi itafata era ya Arteta.
No one doubts Thiago, joe Gomez or naby talents… hata matipSiku zote Class itabaki kuwa Class tu! Aliponunuliwa T. Alcantara wengi hawakuridhika na kusajiliwa kwake wakiamini hataisaidia Liverpool, wengine wakawa na Concern kuhusu injuries zake! But Klopp anamfanyia management nzuri sana ya kumpunguzia injuries na sasa hivi anachokifanya uwanjani kila Timu inatamani ingemnunua kabla ya kuja Liverpool.
😂😂😂😂😂Kwa kweli nimo humo huu usajili wa Thiago binafsi niliukataa kabisaaaa ila duh japo pamoja na management anaumia mia nimekuja kujua jamaa hua ni risk taker yaaani anajitoa na kujituma sana kupiga tackling za hatari sana bija kujali mwili wake ni made of Indian Biscuits 😂😂...Siku zote Class itabaki kuwa Class tu! Aliponunuliwa T. Alcantara wengi hawakuridhika na kusajiliwa kwake wakiamini hataisaidia Liverpool, wengine wakawa na Concern kuhusu injuries zake! But Klopp anamfanyia management nzuri sana ya kumpunguzia injuries na sasa hivi anachokifanya uwanjani kila Timu inatamani ingemnunua kabla ya kuja Liverpool.