King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
SALAH IS GETTING A NEW DEAL.
TUMESHINDA.
Kuna yule jamaa uliyekuwa unajadiliana naye alikuwa anakuja na cheap propaganda kuhusu Salah sijui anajisikiaje sasahivi.
Kitu pekee nilichobaini ni Kuwa hajui chochote kuhusu Liverpool na vipi inawatreat wachezaji zaidi ya kuwa ni Google reader kwani before 2016 (kabla ya Klopp) hakuwa hata akijua kama kuna siku atakuwa mshabiki wa Liverpool.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saint Anne anakutafuta jamaa yetu OllaChuga Oc kutoka darajani leo kuna mvua ya mawe imeshuka kule [emoji23][emoji23][emoji23] Yaaani daraja limetobokaa balaa Brentford anasema EPL hashukiiii hawa Les Blue warege tu na Arsenal haoo nafasi ya tatu.
YNWA
Handsome Thiango [emoji91][emoji91][emoji91]
Our Fabinho
Hamna cha kupoteza wakati mmepoteza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kujua sisi ni nouma kiasi Gani? Leo tumepoteza kwa sababu hiyo Sasa ..kipigo kizito kitashushwa hiyo jumatano hao Madirid na nyie matakataka mamluki mujiandae maana sisi hatuna Cha kupoteza hasa kwenye game za mtoano.
Unajua Nini kitatokea? Kaa kwa kutulia, tunza hii comment.
#CFCforever[emoji170][emoji170][emoji170]
Afadhali maana nilianza kufadhaikaSALAH IS GETTING A NEW DEAL.
TUMESHINDA.
Misimu haifanani.Afadhali maana nilianza kufadhaika
Utoto unapovuka mipakaNanunua screenshot Liverpool akiwa top of the table ...mwenye nayo aje ..ofaaaa 200k
Rent boys na Arab clowns hawana washabiki
It is good kama Salah na mane watabakiWe need Klopp to stay first, then Salah!
Sikua na wasi wasi na Salah ila nina wasi wasi sana siku akiondoka Klopp.
Huyu Klopp anajua kufundisha mpira
KwikwikwikwiiiiiUnataka kujua sisi ni nouma kiasi Gani? Leo tumepoteza kwa sababu hiyo Sasa ..kipigo kizito kitashushwa hiyo jumatano hao Madirid na nyie matakataka mamluki mujiandae maana sisi hatuna Cha kupoteza hasa kwenye game za mtoano.
Unajua Nini kitatokea? Kaa kwa kutulia, tunza hii comment.
#CFCforever💙💙💙
Ni bwana Michael Edward kasimamia hili au his successor bwana Julian Ward?SALAH IS GETTING A NEW DEAL.
TUMESHINDA.
Hahaha kwa kweli maana ni Mr CH aka Cool Head.Our Fabinho
Ile Bald head yake nadhani ina akili mno mno kichwanii[emoji3059][emoji91][emoji91]
Ma Handsome wako aafu wanaupiga mwingi sanaaaaaa.Handsome Thiango [emoji91][emoji91][emoji91]
We are LFC
Ushamalizana nae ama namna gani hatutaki kelele humu we need super concentration tuna fainali 15 za kucheza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiyanani nimecheka sana
Khaaa hawa mashabiki wa Norwich ni noma pamoja na vipigo vyote lakini Carrow Road wamo kama wote.
KabisaUshamalizana nae ama namna gani hatutaki kelele humu we need super concentration tuna fainali 15 za kucheza.
YNWA
Aisee itakua na Mbappe au Erling Haaland anatua Liverpool 😂😂😂😂😂maana ukiachana na Mo kutaka pound for pound contract tetesi ni kwamba alitaka uhakika wa wachezaji wapya kusajiliwa ili kujenga timu ya ushindi. Tetesi ni kwamba sio tu alipwe vizuri lakini pia awe anacheza na wachezaji wenye kiu ya kupambana na kushinda makombe.SALAH IS GETTING A NEW DEAL.
TUMESHINDA.