Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwani aliyemwajiri Klopp ni nani? Huyo aliyemleta Klopp Liverpool anastahili sifa na mpira wa sifa utarudi back to FSG
So, when you're working on a project thats not growing and showing no signs of development, then uka-hire mtu na kumpa A, B, C za your project hoping kuwa ata-solve kila kitu na kubadilisha upepo, then luckly huyo mtu anakuja kwenye hiyo MESS, na kubadilisha kila kitu, kuanzia structure ya uongozi, recruitment team, in-game management etc, na anafanikiwa kwa 100%, nani anastahili praises hapo? boss ambaye alishindwa kabisa kui-develop model yake aliyokuwa anaiamini, au employee ambaye amefanikiwa kui-develop hiyo model katika limited budget?

Kabla ya Klopp at LFC, FSG had Daglish & Rodgers as managers, endorsements zipi zilikuja at LFC?, major trophies zipi zilikuja at LFC? tulikuwa even able to compete with the likes of Arsenal? ukiachana na 2013/14? how many times Spurs walimaliza kwenye league table juu ya LFC?, why do you want to give praise kwa boss ambaye model yake ili-fail? why usimpe praise mtu ambaye kwa utashi wake alibadilisha mtazamo wa watu wengi kuhusu LFC?

you know the importance of World Class Managers kwenye football?, you how hard it is to manage players & club affairs, you know how hard it is to manage football stars wanaolipwa millions just to kick a football? Klopp came at LFC with huge expectations na amezifikia, kulingana na model ya FSG.

Hii inanikumbusha, proper reds wanavyosemaga kuwa FSG saved us from liquidation, no they didnt, they saw a business opportunity and invested on it, LFC, one of the biggest football brands was auctioned for Β£300m, nani asingekuwa interested?

You cant thank the owners, for doing what they're SUPPOSED to do, LFC siyo charity club, ni taasisi yenye lot of followers around the world, when you invest on it, unakuwa una-invest kwenye expectations za its followers, ambao ndiyo wanatengeneza msingi wa CLUB.
 
Captain, suala la FSG kutaka ku-make profit kwa Salah halijaanza leo, lipo kwenye cards kwa muda mrefu sana, na ndiyo maana hata mazungumzo ya huu mkataba mpya walikuwa wanayachelewesha maksudi tu, but kujifanya wapo clever sana kunaenda ku-backfire now, maana Salah amebakiza mwaka mmoja tu na haoneshi nia yeyote ya kutaka kuondoka at LFC, na kama hatapata mkataba ataondoka for free, ndiyo maana FSG are busy trying to divide him na fans, leaking vile lies kuwa anataka BIG wages, sasa mchezaji ambaye anataka kubaki at the Club na kashasema wazi, ata-demand vipi hizo BIG wages ambazo zitampa disadvantages kwenye nia yake ya kubaki at LFC?

You have a top 3 best player in the world right now begging to stay, but you want to sell him for a profit because umeona PSG wanaweza kuwa desperate Mbappe akiondoka, this is not how a big club should be runned.

Salah is not slowing down anytime soon, use him, use his prime years, he still wants to offer his prime years with us, why are we refusing? reason ya FSG ni ipi? why would.you let number one attacker kwenye EPL aondoke? it doesnt make sense.

At least ningewaelewa FSG kama Salah angekuwa kishachuja AU yeye mwenyewe ana-force a move, but the thing is vyote hivyo havipo.

And, imekuwa ni ishu inayojirudia under FSG, kila star player anaondoka, anaondoka na bad image na kuonekana Villain, look at Torres, Sterling, Can, Wijanaldum, Suarez and even Coutinho, lazima wawe labelled as Villains, lazima fans wawe divided, hii yote ni njia ya FSG kujifanya hawana makosa kabisa, mfano tu kuna watu wanaamini kabisa Salah wants 500k p/w, na tayari washaanza kumuita greedy na other bad names, hawafikirii kabisa, na kwa bahati mbaya ikitokea Salah akiondoka, maneno hayo hayo ndiyo yatatoka kwa FSG through local jornos, kuwa jamaa alitaka 500k, tukashindwa kufikia na akaamua kuondoka, thats how FSG wanaplay hii game, imekuwa kama hivi for years, sasa kulikuwa na haja ya gani ya kum-label most humble player kwenye our Klopp's era (WIJNALDUM) kama greedy and ungrateful, unajua msimu wake wa mwisho Wijnaldum alikuwa anapata hate comments nyingi sana kutoka kwa fans kwenye his social media, kwasababu ya upuuzi wa FSG, mtu ana-demand haki yake, kama huwezi kuifikia mwambie huwezi then m-part ways kwa amani, siyo unaanza kumchafua ili wewe usionekane tatizo.

Now, Trent anapokea 180k p/w, mkataba wake unaisha 2025 i think, bado atakuwa very young, na mpaka sasa he is considered kama one of the best RB of his generation and bado anaendelea ku-improve kila siku, without Trent kwenye team yetu we create NOTHING, he is one of the most important players in the squad, sasa kama anapokea 180k, you think he will demand just 200k in 2025? No he will DEMAND more kulingana na kazi anayofanya LFC na his status on a global level, sasa ikifika time yake naye tutamuwekea zengwe? tutapoteza WC players wangapi kwa upuuzi wa FSG? kama Club imewa-outgrow waiuze kwa relatable investor, LFC kwasasa ni top 3 most followed/watched football club on earth, and Top 5 biggest soccer brands on earth with a lot of endorsements/deals, as a owner you need to up your pace and run with it, kuna price ya kulipa ukifikia level kama hizi, na tangu LFC ianzishwe haijawahi kufikia level kama hii brand wise.

Kila siku tutakuwa tuna-label our WC players kuwa ni greedy wakitaka they're well deserved pay-rise.

You cant get another SALAH kwenye transfer market, use him until he's done for good, build the new attacking line around him, tengeneza msingi mpya kupitia yeye, use his remaining peak years kutengeneza new attacking stars.
 
Jamaa ni very arrogant, but maybe ni kwasababu anaona kila kitu, anaona stardom ya Salah na jinsi inayoiletea pesa LFC off the pitch, anaona sponsors, deals, endorsements, jersey sales, goals, assists, etc

So hawezi kuja kwenye negotiation kinyonge, lazima aulizie vitu vingi sana, goals+assists bonuses arent enough for a star like Salah.

If anything, FSG shouldve known better.


But as i said before, cant see Salah changing his agent, but he's a prick, and on the slightest note, his childish antics hazimsaidii Salah kabisa kwenye hii saga
 
Pep Lijnders hana aura ya ku-lead a big club kama LFC.

Pep Lijnders ni aina ya Coach ambaye unatakiwa umpe team aifume kuanzia chini/upya, ni kama ilivyo kwa Arteta now na hatikiwi kuwa katika pressure yeyote, you give him time and space.

LFC ilipo now, haiitaji coach aina ya Lijnders, inahitaji Coach ambaye atachukua pale alipoishia Klopp na kuwa n uwezo wa kubeba expectations zote.

Tunaji-underrate, but we are one of the biggest clubs in the world right now, pressure to sustain hii status ni kubwa sana, because 1 mistake tu, itaturudisha tulikotoka, so we need a strong manager, who can control players egos & in-game management, we need a manager ambaye atakuwa na last say kwenye dressing room.

Man city are not slowing down anytime soon, Chelsea are still in good shape, Utd just need a serious manager and think this is the year they get him, Arsenal are on a huge come up, Spurs got a proven winner as their Coach, West Ham are a very well run club right now, Aston Villa wana good owners who can really spend, Wolves are in a good shape etc, we cant afford to slip up, maana tuki-slip up itakuwa very hard to compete with these teams in the future, EPL inabadilika kila kukicha, so ili ku-maintain our status at the top, tunahitaji kuondoa sentiments, Lijnders cant manage a Club like LFC, and some dudes are just good kwenye behind doors, you see Ragnick, he's a football maniac, top football mind, kwenye scouting world ni one of the GURUS, but his managerial career is not good, because not everyone can lead a team from the touchline.
 
Pep Bado sana

Unanikumbusha ya Carlos queiroz

Au ile the brain behind klopp… some people are born to assist
 
ORIGI, Swahili boy, speaking the BEAUTIFUL LANGUAGE.

Its an honour kuwa represented na this kid, nikiwa kama East African native.

Farewell & Goodluck at AC MILAN.

 
Wewe unaujua mchakato wa kimkakati hadi amepatikana Klopp. Yaani mashabiki kwa kujitoa ufahamu hawahambo kabisa. Aliyepanga kimkakati kuleta Klopp na kimpa wachezaji wazuri yeye hastahili sifa sio. Nyie mlistahili wale wamiliki wa Arsenal
 
Hivi hii liverkuku ikiwekwa sokoni itakuwa hata na pound billion 1 kweli?
Maana thamani ya Chelsea kwa Sasa ni pound billion 3+ ..je Kuna timu yeyote imefikia thamani hii duniani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…