Snoop Dogg
JF-Expert Member
- Jan 10, 2022
- 283
- 264
Huwa naonga Kama chaka la Barcelona la kununua wachezaji wazuri ni Liverpool na chaka la R Madrid ni Man U kwahiyo hili linanipa uhakika wa mashaka kuwa kipenzi chenu Wana Liverpool (Salah) Kama vile atabebwa na Barca.Waleteeeee elaaaaa hahahaha eti nimesoma mahala kwamba Liverpool ni selling club hivyo Barcelona wakifika bei kwa Salah tutauza tu hahaha yaaani hii kali kuliko khaa kwani kuna shinda gani kuuza na kuwekeza tena ela hio hio klabuni. Bila mauzo ya Coutinho kweli tungekua na hiki kikosi?
Vipi nyie hamtataki dogo Salah? Au mazima kwa Hallaad?
YNWA
Binafsi aende TU anakotaka ilaasiende bure walete Β£ M100 -120 siyo mbaya tutanunua salah mwingine toka benficaHuwa naonga Kama chaka la Barcelona la kununua wachezaji wazuri ni Liverpool na chaka la R Madrid ni Man U kwahiyo hili linanipa uhakika wa mashaka kuwa kipenzi chenu Wana Liverpool (Salah) Kama vile atabebwa na Barca.
KabisaBinafsi aende TU anakotaka ilaasiende bure walete Β£ M100 -120 siyo mbaya tutanunua salah mwingine toka benfica
Hata salah mwenyewe anajua Liverpool n klopp na s yeye Bila klopp leo angekuwa middle class player
Salah n mtu muhimu pale Liverpool wakishindwana sio mbaya naye n binadamu anamahtaji yake
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Liver ni zaidi ya MOKabisa
Wapo wanaodhani liverpool bila Mo itaporomoka wasijue kuwa engine ya club ni mwalimu
Tumekuza vipaji vya watu kama Robertson na Trent, tushindwe kummunda Salah mwingine?
Hapa mi naona kabisa huyu pharao kama anataka mchele mrefu sana ni ticket yake ya kusepa. Hawezi kututingisha
Wamuongezee kulingana mapato yanavyoruhusu na sio vingine.
Saivi ukimcheki Minamino ni Kama Salah mwingine anakuja kopi raiti kabisa!
Yule dogo Elliot nae ni balaa nyingine sasaivi watu hawaoni tu.
Hapa 'makombe yeyu', ataetaka kusepa pia 'pesa zetu', mwendo wa kubana natumizi pia ni jadi yetu hatuigi mishahara.
Wanaobonga mingi ni washabiki hewa wa Chelsea na Man City wasiolewewa chochote kuhusu soka kwa malkia, watoto wa juzi tu!
Watani zetu wa jadi wanaelewa kabisa tupo on the right track na wakimuona huyu mzee wetu wanakumbuka enzi za babu yao, aliondoka Beckham akaondoka Cr7 lakini chuma bado kiliendelea kutikisa
Nyie Salah mlimuona garasha mkamuuza leo kaja kwetu mnamsujudu, bado tu huoni impact yetu?Liver ni zaidi ya MO
Ila kuna magoli ya MO yameiondoa Liver from ordinary. Akitoka. Mtakuwa mnapigania top 4 sio ubingwa tena
Chelsea alipotoka Diego Costa hadi sasa tunafight top 4, wewe fikiria tungekuwa na MO Salah hapo mbele, unadhani kwa magoli 20+ ya MO si tungekuwa mbali sana?
Mimi ningekuwa pep ningemchukua Salah ,huyu ni machine , powerful,high energ ,Hana injury za kijinga ,one vs one akitokea pembeni ni hatari ,kucheza match zote epl non stop ni kitu cha kawaida .. ,anaweza kukupa 20+ goal kwa msimu ...! Nataman pep atupie jicho kwa Salah ....!Waleteeeee elaaaaa hahahaha eti nimesoma mahala kwamba Liverpool ni selling club hivyo Barcelona wakifika bei kwa Salah tutauza tu hahaha yaaani hii kali kuliko khaa kwani kuna shinda gani kuuza na kuwekeza tena ela hio hio klabuni. Bila mauzo ya Coutinho kweli tungekua na hiki kikosi?
Vipi nyie hamtataki dogo Salah? Au mazima kwa Hallaad?
YNWA
Salah amehudumu vizuri katika muda wake klabuni, ametupa taji la UCL, EPL, UEFA Super Cup, Club World Cup, Carabao Cup, na sasa anaenda kutupa FA Cup na EPL nyingine.
Kwanini tuwe na kinyongo akitaka kusepa? Hatudaiani, tutampa baraka zetu na kumtakia kila la heri na pesa ya mauzo tutachukua!
Nyakati ni tofauti ndg usijitoe akiliNyie Salah mlimuona garasha mkamuuza leo kaja kwetu mnamsujudu, bado tu huoni impact yetu?
Kwetu so far waliwachukua Mascherano, Phil na Suarez sisi tulimnyakua Luis Garcia na akatupa UCL na Super Cup na FAHuwa naonga Kama chaka la Barcelona la kununua wachezaji wazuri ni Liverpool na chaka la R Madrid ni Man U kwahiyo hili linanipa uhakika wa mashaka kuwa kipenzi chenu Wana Liverpool (Salah) Kama vile atabebwa na Barca.
We unajiona uko sawa?Nyakati ni tofauti ndg usijitoe akili
Ataenda popote lakini sio kwa wale Mashetani!Mimi ningekuwa pep ningemchukua Salah ,huyu ni machine , powerful,high energ ,Hana injury za kijinga ,one vs one akitokea pembeni ni hatari ,kucheza match zote epl non stop ni kitu cha kawaida .. ,anaweza kukupa 20+ goal kwa msimu ...! Nataman pep atupie jicho kwa Salah ....!
Lakin inategemea mapenzi ya Salah mwenyewe ,siku akisema live kama Kane kuwa anapendezeshwa na city hatuwezi kumuacha mzee [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado munajadili ushindi wenu was mchongo was carabao??!! Basi liverpool ni timu ndogo Sana
Kwamba ukimcheki minamino NI kama Salah mwingine kopi ryt....kmmk walai [emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa
Wapo wanaodhani liverpool bila Mo itaporomoka wasijue kuwa engine ya club ni mwalimu
Tumekuza vipaji vya watu kama Robertson na Trent, tushindwe kummunda Salah mwingine?
Hapa mi naona kabisa huyu pharao kama anataka mchele mrefu sana ni ticket yake ya kusepa. Hawezi kututingisha
Wamuongezee kulingana mapato yanavyoruhusu na sio vingine.
Saivi ukimcheki Minamino ni Kama Salah mwingine anakuja kopi raiti kabisa!
Yule dogo Elliot nae ni balaa nyingine sasaivi watu hawaoni tu.
Hapa 'makombe yeyu', ataetaka kusepa pia 'pesa zetu', mwendo wa kubana natumizi pia ni jadi yetu hatuigi mishahara.
Wanaobonga mingi ni washabiki hewa wa Chelsea na Man City wasiolewewa chochote kuhusu soka kwa malkia, watoto wa juzi tu!
Watani zetu wa jadi wanaelewa kabisa tupo on the right track na wakimuona huyu mzee wetu wanakumbuka enzi za babu yao, aliondoka Beckham akaondoka Cr7 lakini chuma bado kiliendelea kutikisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba ukimcheki minamino NI kama Salah mwingine kopi ryt....kmmk walai [emoji23][emoji23][emoji23]
πππππKwamba ukimcheki minamino NI kama Salah mwingine kopi ryt....kmmk walai [emoji23][emoji23][emoji23]
Money talks bhana sitoshangaa kabisa akitua Manchester City kwa kipara maana angalau kwenu mshahara wa 400k itakua sio tatizo tofauti na alipo sasa.Mimi ningekuwa pep ningemchukua Salah ,huyu ni machine , powerful,high energ ,Hana injury za kijinga ,one vs one akitokea pembeni ni hatari ,kucheza match zote epl non stop ni kitu cha kawaida .. ,anaweza kukupa 20+ goal kwa msimu ...! Nataman pep atupie jicho kwa Salah ....!
Lakin inategemea mapenzi ya Salah mwenyewe ,siku akisema live kama Kane kuwa anapendezeshwa na city hatuwezi kumuacha mzee [emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana wee hii ilikua zamani enzi hizo wana mapesa kama yote kwa mfano sasa wamguse Diaz haha wacheue Β£150m weee dhubutu huo ubavu hawana.Huwa naonga Kama chaka la Barcelona la kununua wachezaji wazuri ni Liverpool na chaka la R Madrid ni Man U kwahiyo hili linanipa uhakika wa mashaka kuwa kipenzi chenu Wana Liverpool (Salah) Kama vile atabebwa na Barca.
Bado hujamuona vizuri iko siku utakubali maneno yanguKwamba ukimcheki minamino NI kama Salah mwingine kopi ryt....kmmk walai [emoji23][emoji23][emoji23]