Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mlishinda kimchongo goli sahihi la Chelsea lilikataliwa.Alafu pernat haina mwenyewe yoyote anaweza kukosa.msimu huu hamjaifunga Chelsea na huo uwezo wa kuifunga Chelsea hamna.
Kama hatujaifunga tulishindaje?
Kwamba Yale magoli ya penati hukuyaona


Penati kukosa mwenyewe ndio ujue atakayekosa ndio kilaza wa mechi sasa.
 
Kwa hali ilivyokuwa inasemekan chelsea walivyopewa tu palace WALIFURAHI NA WAKAPOST FASTA MAANA WALIOGOPA KUBADILISHIWA OPPONENT, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninyi ndiyo mliogopa kukutana na Chelsea any wei hakuna shida naami tutakutana na wewe au City final. Na sizani kama utamfunga City two times within a week?
 
Kwa hali ilivyokuwa inasemekan chelsea walivyopewa tu palace WALIFURAHI NA WAKAPOST FASTA MAANA WALIOGOPA KUBADILISHIWA OPPONENT, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msimu huu umeifunga Chelsea Mara ngapi?
 
This time tukikutana FA umeisha.

Save this comment. Maana UCL hatuwezi kukutana,

Imagine mnategemea TAA ndio awazuie watu kama akina Alphoso Davies.

Kama nawaona Bayern wavyoufanyia mazoezi huo uchochoro.

Hivi wewe mpira mbona unaucheza mdomoni.mnasemaga TAA hajui kukaba Klopp kasema atawabutua maana TAA dogo ameonesha anaweza kuzuia alina ubishi hilo.

Huna uwezo wa kumfunga Liverpool wewe.bayern tuliyoifunga na kwenda kuchukua ubingwa ilikuwa bora kuishinda hii.
 
Kwa hiyo ubora wenu wa kipindi kile ni sawa na wa sasa hivi?
 
Kwa hiyo ubora wenu wa kipindi kile ni sawa na wa sasa hivi?

Sasa hivi tuko vizuri kuliko kipindi kile kipindi tulikuwa hatuko vizuri ndio maana tukapewa Bayern,hakuna aliyetegemea kama tutashinda arienz arena pale lakini tulishinda 3-1 .
 
Hahaha punguzaneni kwanza yeyote kati ya nyie takataka na man shitye tunamngoja final FA hahahaha

Mafanikio ya Tuchel..ndani ya matatizo..πŸ˜‚
Won two cups ..CWC, Uefa SuperCup,
Carabao final
Uefa qwata final,
FA semi final,

FA final is loading ...

Hahahaha it Chelsea Things πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
 
Cheki hili takataka la liverkuku linaumia kwa sababu ya mafanikio yetu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unadhani timu za wenzetu zinakufaga kama zenu za mchangani? em acha nshamba wewe..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…