Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawezi kuwa alikuwa fan wa majogoo HUYU...
 
Sasa hili bomu fanya kulitupa kule kwenye uzi wao uone watakavyotokwa povu
 
Wazee hawaruhusiwi shabikia mpira?
 

Bobby ndiye Mchezaji asiye na kiburi na mwenye nidhamu zaidi kuliko mchezaji yoyote wa Liverpool.
Hakufanya ukakasi alipoambiwa ampe Jezi namba 11 Mo Salah, wala hajanuna alipopokonywa namba na Diogo Jota.

Imagine Sadio Mane angeambiwa nayeye ampe Jezi namba 10 Diogo Jota halafu namba namba yake ichukuliwe na Diaz uone kama hata Wiki itamaliza Hajang'oa Viti uwanjani.
Au Hendo namba yake ichukuliwe na Keita kama hajampasua Klopp.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…