Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuanzia kwenye hatua ya Quarter Final,Semi Final na Final yenyewe timu inaweza angukia kucheza na timu yoyote YES. Ila katika hatua za mwanzo yani hatua ya makundi na 16 bora sheria ya UEFA inasema haitakiwi zikutane timu zinazotoka ligi moja.

YNWA

Ukitoka hatua ya makundi ni kuingia 16 bora na Robo Fainali tu ndiyo Draw inachezeshwa.

Baada ya Robo hakuna tena kuchezeshwa Draw bali kila Stage imeshapangwa kuwa nanai atakutana na nani.

Pia sio kila Timu inaweza kukutana na kucheza na Timu yoyote! Kwenye 16 bora Timu zinazotoka Nchi moja haziwezi kukutana, na Viongozi wa Makundi hawawezi kukutana.
 
Sawa kabisa mkuu, kuhusu group leaders na na timu from same league nilimemuelezea kwenye post ya nyuma.

Congrats kwa badge.

YNWA
 
Nkamu wegman
Captain Marvelous naomba mnielezee kuhusu hii draw.
Inafanyikaje fanyikaje na wanatumia vigezo vipi.


In the draws for the quarter-finals and semi-finals, there were no seedings, and teams from the same group or the same association could be drawn against each other.

As the draws for the quarter-finals and semi-finals were held together before the quarter-finals were played, the identity of the quarter-final winners was not known at the time of the semi-final draw.

A draw was also held to determine which semi-final winner was designated as the "home" team for the final (for administrative purposes as it is played at a neutral venue).

YNWA
 
Ahaa!...sawa, benfica walikuwa wabishi kipindi icho wana midfielders kama NICHOLAS GAETTANO!..ila kwasasa wanaunga tu.
Hapa ndipo Simao sambrosa ina malizika dk 90 anaona wahuni wa liverpool wanashangilia akawa anajiuliza hv liverpool ndio wameshinda?
Huyu Simao tulimtaka sana akiwa benifica

Kwako
Captain Marvelous 😁
 
Last time Liverpool to face Benfica was the season of 2005/2006

First leg
Benfica 1-0 Liverpool

Second leg
Liverpool 0-2 Benfica

Here we go again..welcome the Portuguese at anfield stadium the place of the miracle of European night
Tukifikia kuamini kila takwimu… hasa hizi zisizo na consideration yoyote ya context, tutakua Hatuna tofauti na sangoma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…