Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuanzia kwenye hatua ya Quarter Final,Semi Final na Final yenyewe timu inaweza angukia kucheza na timu yoyote YES. Ila katika hatua za mwanzo yani hatua ya makundi na 16 bora sheria ya UEFA inasema haitakiwi zikutane timu zinazotoka ligi moja.

YNWA
Hapana, ni Quarter final tu timu inaweza kuangukia kucheza na timu yeyote, SF na Final inadepend na matokeo ya QF na Fina inadepend na matokeo ya SF
 
Heee[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wangetufunga 2 bila na bado penalty zingepigwa kwa sababu tu wao tuliwafunga 2 bila???
 
Heee[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wangetufunga 2 bila na bado penalty zingepigwa kwa sababu tu wao tuliwafunga 2 bila???
Eeeh sababu kimahesabu inakuwa ni droo kwamba sisi tumewafunga 2 kwao na wao wametufunga 2 kwetu (2-2) matokeo hayatakiwi yawe droo.
Hivyo kunakua na extra time ili apatikane mshindi, asipopatikana mshindi within hizo extra minutes basi ndio wanapigiana matuta hadi mshindi apatikane.
 
Last time Liverpool to face Benfica was the season of 2005/2006

First leg
Benfica 1-0 Liverpool

Second leg
Liverpool 0-2 Benfica

Here we go again..welcome the Portuguese at anfield stadium the place of the miracle of European night
Mkuu acha kuudanganya umma kwa kujionyesha kuwa BENFICA NI TOUGH OPPONENT KWAKO....ukweli ulio wazi na kila mtu ameona kuwa LIVER mumepata EasyOpponet/ wabongo tunasema "mchekea", SASA UNATAKA KUTUAMINISHA BEKI OTAMENDI AKAMDHIBITI SALAH KWELI?..
.SERIOUSLY???
 
Tobaaaaaah hadi nimepata baridi, sio kwa team hii tunayokutana nayo khaaaaah.
 
Aiseee
Kwanza hapa nishachanganya makombe[emoji1751],
 
game yetu na man city tumebahatika sana, yani watacheza na atletico home, kisha ligi na sisi then away kwa atletico!

very tactical, kipara lazima achanganyikiwe! diego hana matani
Na bado man city tutashinda zote. Chezea para wee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…