Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Jana Paul merson a.k.a former Arsenal man...alichukia sana.
Anadai bado liver anahali ngumu maana kwa game mlizobaki nazo liver...itawabidi mshinde kila game, lakini ukiangalia kwa game alizobakisha city kwa upande wake ngumu labda ni Liver ila kinacholeta hope mnaenda etihad...nyengine labda ni westham na wolves kwasababu anawafuata ugenini.
Ila nyie bado mpo na Rivals wenu yani UNITED ambaye yupo desperate na kutinga top4 na TOFFEES ambaye anataka kuavoid relegation...sawa wanaweza wasiwe kwenye form bora hivi sasa lakini adui wa jadi ni adui tu...msipokuwa makini apa yeyote anaweza akawakata points maana hizo mechi hawatakubali kirahisi pamoja na ubovu wao walionao, yasije wakuta yale ya 2018/2019 mkakimbiza ubingwa hadi mwisho kwa tofauti ya point.1 tu.
View attachment 2153686
Tuna almost miaka 30 hatuja shinda pale Forest.Next angalau tupate mapumziko kwa kucheza na ule Msitu wa Nottingham.
Mzee sidhani lama kuna haja ya kuwa na wasiwasi katika hilo believe kwamba vijana wa CityBoyz! watapewa sumu na pep...kazi itakuwa ngumu ndio na pale etihadi damu itatoka kazi haitokuwa rahisi kihivyo maana kila mtu anaona upenyo wa kuvishwa Taji lakini City tuta tetea taji letu.City hatupo kwenye form mzee kama kipindi kile ,hapa ni either Liverpool mwenyewe ajichanganye tu ...! Japo fixture yetu inaonekana nyepesi lakin team yetu Bado haipo on fire ...!
Kwahiyo huyo Paul ndio anakutisha na maneno yake?Jana Paul merson a.k.a former Arsenal man...alichukia sana.
Anadai bado liver anahali ngumu maana kwa game mlizobaki nazo liver...itawabidi mshinde kila game, lakini ukiangalia kwa game alizobakisha city kwa upande wake ngumu labda ni Liver ila kinacholeta hope mnaenda etihad...nyengine labda ni westham na wolves kwasababu anawafuata ugenini.
Ila nyie bado mpo na Rivals wenu yani UNITED ambaye yupo desperate na kutinga top4 na TOFFEES ambaye anataka kuavoid relegation...sawa wanaweza wasiwe kwenye form bora hivi sasa lakini adui wa jadi ni adui tu...msipokuwa makini apa yeyote anaweza akawakata points maana hizo mechi hawatakubali kirahisi pamoja na ubovu wao walionao, yasije wakuta yale ya 2018/2019 mkakimbiza ubingwa hadi mwisho kwa tofauti ya point.1 tu.
View attachment 2153686
Yeye kuwa upande wenu haibadili ukweli kwamba tutawatandika[emoji3]Paul merson anasema katika hii vita ya title race yeye ni bora awe upande WETU CITYZENS! Kuliko kwenu liverkuku.
View attachment 2153696
Ngumu hapo ni wolves na cityHizi game tulizo baki nazo ni ngum aisee kwa kushinda zote sio rahisi, ila tutapambana aisee [emoji854]View attachment 2153701
Duh vijana wana hali ngumu...
[emoji14] yangu machoKwahiyo huyo Paul ndio anakutisha na maneno yake?
Kwa akili ya kawaida tu unadhani man u atatufunga nyumbani??
Hakuna mechi ya kupoteza hapo kwetu.
Nyie wolves atawachakaza na sisi tunakuja kuwachakaza.
Mchezo utakuwa umeishia hapo.
Mzee sidhani lama kuna haja ya kuwa na wasiwasi katika hilo believe kwamba vijana wa CityBoyz! watapewa sumu na pep...kazi itakuwa ngumu ndio na pale etihadi damu itatoka kazi haitokuwa rahisi kihivyo maana kila mtu anaona upenyo wa kuvishwa Taji lakini City tuta tetea taji letu.
Maligends hawakosei ndugu...japo tulisuluhu na palace.
View attachment 2153713