Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
😂😂😂😂😂😂sasa wataangalia sana wakipiga ramli tupigwe kote na bado tuna mechi nao imesogezwa mbele.Numbisa hii timu yake inachekesha sana kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi nipo huko nasoma comments zao..
Nina kazi moja tu ya kucheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashindwa hata cha kusema[emoji23]
Itoshe kusema kwamba wakae kwenye kideo watuangalie timu za kiumeni vijana akina Matip wanavyotananga mpira.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa tu ipo siku tutarudisha vicheko vyenu,tutakua tunashinda ndani ya uzi huu daily
Pole sana aisee.Asante.Msimu huu imebidi tuwe wapole na nimshukuru aliyepandisha bei za bando maana GIF zingekua chungu kwangu😂😂😂😂
Dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa wataangalia sana wakipiga ramli tupigwe kote na bado tuna mechi nao imesogezwa mbele.
Hao komaa nao walitunyanyasa sana enzi ya Fergie hakuna namna sasa ni wakati wao kuchekwa Hahaha.
YNWA
Waambie wanywe maji ya baridi sanaaa kupoza joto kipindi hiki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wenzenu hawajautelekeza uzi..
Comments zao sasa aiseee
Ndio kama hizo.
Akiyanani nimecheka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2152704View attachment 2152705
Kuna mdau anasema wameamua kuwaamini wazee,,haya sasa waimbe wimbo wa Abiudi Misholi teenda Miujiza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole sana aisee.
Mnahitaji mipango ya muda mrefu haya ma short term fix ya Ronaldo sio kabisa.
Bado mna mvuto kwa vipaji ni suala la kupata kocha bora muwe na subira awarudishe kileleni.
YNWA
Jana sasa wakati mechi inakaribia kuisha[emoji23]Waambie wanywe maji ya baridi sanaaa kupoza joto kipindi hiki.
YNWA
Mzunguko wa pili hatujamalizana ile wanafungwo 5 ilikua kwao Trafford sasa hivi wanakuja machijioni ramsi pale Anfield.Dah!
Wanacheza na sisi???
Au tuwasamehe tu wafanye kuandika matokeo sisi moja wao sifuri[emoji1787]
Maana kwa timu yao ilivyo sasahivi tunaweza kuwafunga hata bao 10.
Cheka tu Miss Liverpool wanakuongezea siku za kufaidi soka kambambe ya Norbert Klopp na vijana wake.Jana sasa wakati mechi inakaribia kuisha[emoji23]
Walitoa matusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akiyanani man u wanaweza kumfanya mtu akacheka hadi akaugua.
Wazee wangechanganya vyema na vijana wenye njaa sio hawa matozi wao wanalipwa mi ela mingiii bila hata kuisotoe uwanjani.Kuna mdau anasema wameamua kuwaamini wazee,,haya sasa waimbe wimbo wa Abiudi Misholi teenda Miujiza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HakikaCheka tu Miss Liverpool wanakuongezea siku za kufaidi soka kambambe ya Norbert Klopp na vijana wake.
YNWA
Huyo De Gea mwenyewe walishamtukana[emoji1787]Wazee wangechanganya vyema na vijana wenye njaa sio hawa matozi wao wanalipwa mi ela mingiii bila hata kuisotoe uwanjani.
Pale Manchester United hua namkubali kipa wao tu. That dude is made of steel tangu aodoke Fergie huyu dogo single-handedly amewabeba mpaka sasa. But he ain't a robot anahitaji wengine watimize majukumu yao uwajani.
YNWA
Watu wa Mbeya tunasema 'mweeeh"[emoji2296][emoji23][emoji23][emoji23]Mzunguko wa pili hatujamalizana ile wanafungwo 5 ilikua kwao Trafford sasa hivi wanakuja machijioni ramsi pale Anfield.
YNWA
Hahaha mweeh haya bhana hao twakukabidhi wewe huku ukifaidi comedy ya bure kabisa.Watu wa Mbeya tunasema 'mweeeh"[emoji2296][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wataambia nini watu sasa?[emoji23][emoji108]
Ngoja wamalize kwanza kunichekesha ndio nitacoment chochote[emoji3]Hahaha mweeh haya bhana hao twakukabidhi wewe huku ukifaidi comedy ya bure kabisa.
YNWA
Hahahaha wamevurugwa siku wataanza sasa kumtukana Ole utadhani bado yupo kibaruani.Huyo De Gea mwenyewe walishamtukana[emoji1787]
Mashabiki wa Man u wamevurugwa nyie[emoji23]
Sasa kama wachezaji hawahangaiki,kipa yeye atafanyaje kama si kufungwa[emoji1787]
Weee humu wanachungulia na kutoka mbio za ajabu wanajua vyema mambo yamegeuka.Ngoja wamalize kwanza kunichekesha ndio nitacoment chochote[emoji3]
Kama kuna man u yupo humu,Bwana ampe faraja[emoji4]
Wamtukane mara ngapi??Hahahaha wamevurugwa siku wataanza sasa kumtukana Ole utadhani bado yupo kibaruani.
YNWA