Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nakubali mkuu, I hope home crowd will help us.
 
Acha asee. Sad thing ni kuwa sitaweza kuiona hii game nilitama iwe leo maana kesho nipo night na hakuna access hata ya simu mpaka asubuhi. 😑
 
Acha asee. Sad thing ni kuwa sitaweza kuiona hii game nilitama iwe leo maana kesho nipo night na hakuna access hata ya simu mpaka asubuhi. 😑
Mkuu pole sana.

Kazi kwanza mengine baadae.

Utatazama marudio.

Hopefully tutatoka kifua mbele kesho.

Kipara kalegea tayari dalili zilikuwepo tangu atoe suluhu na Southampton na kipigo cha Tottenham ilikua ni suala la muda wao kuachia ushukani wa ligi kwa mwendo huu naona mpaka wanacheza mechi yao EPL tutakua tushakaa pale kileleni. Ndio dua yangu hio. May the winning angels be with us.

YNWA
 
Nakubali mkuu, I hope home crowd will help us.
Definitely home crowd hua ni the 12th player if well utilised man.

Mkicheza vyema dakika 30 za mwanzo mkapata goli mtakua mmetuvuruga kwa sasa sijui ni upepo gani hua hatuanzi mechi vizuri mbali we grow in the game as minutes ticks ni jambo la hatari sana ukikutana na mpinzani clinical.

We are ready ku enjoy.

YNWA
 
Amen
 
Sadly ndio iko hivyo. Ukweli kwa sasa hakuna anaeona umuhimu wa Firmino ila ile role yake ya false 9 ndio imetufikisha hapa tulipo na ndio imemfanya Salah akawa Salah na Mane akawa Mane
Klopp ameshasemasana hili jambo na hata sisi wenyewe tumejionea Bobby alie kwenye peak me nadhani watu kama hao huwa wanaenda kuangalia magoli tu kwenye mpira nothing else.
 
Klopp ameshasemasana hili jambo na hata sisi wenyewe tumejionea Bobby alie kwenye peak me nadhani watu kama hao huwa wanaenda kuangalia magoli tu kwenye mpira nothing else.
Kweli kabisa mkuu. Kuna kipindi Bobby alikuwa ndio tegemeo letu. Klopp alikuwa anasema "he is our first line of defense" maana pressing zake ndio zilisaidia team
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…