Sasa nani kakuambia kama kwa kuwa mmekusanya points nyingi, hamjafungwa tangu 2022, mmeshinda magoli 73 na kama hamna majeruhi ndio iwe sababu ya KUTOFUNGWA?Huo urahisi au ugumu baki nao wewe,sisi tunataka point 3 tu .
Mechi ya kwanza ulifungwa nne na Liverpool mechi ya pili uje umfunge kweli? Liverpool kuanzia mwaka 2022 ndio timu bora hapo epl yaani ndio nimekusanya point nyingi kushinda timu yote hapo Epl kwa kifupi Liverpool gari limeshawaka Saizi.
Mechi ijayo mtakutana na Liverpool iliyokuwa na wachezaji wote hakuna majeruhi hata mmoja,ubavu wa kumvimbia Liverpool huna kwa sasa ilikuwaga zamani.
Sasa hivi Liverpool anakufunga anavyotaka huna timu wewe.pigeni kelele tu utakubali hunatimu ya kushindana Liverpool .
Last time mlisema mtakuja kutufunga nyumbani kwenu,kilichotokea mkaona aibu.liverpool hii iko moto mkuu mpaka sasa imefunga magoli 73,wewe umefunga magoli mangapi kwenye ligi?
Liverpool mashindano yote mpaka sasa kafungwa mechi tatu na westham,leicester Na inter milan, wewe mpaka sasa mashindano yote umefungwa mechi ngapi? Auna timu ya kupiga kelele kwamba utamfunga Liverpool.
Hao westham na leicester tayari tumeshalipa kisasi yaani tumeshawakalisha na wao walikuwa wagumu na kelele nyingi.
Ukiona Liverpool kafungwa ujue kuna wachezaji hawapo sasa nyinyi Arsenal mnaenda kukutana na Liverpool iliyona wachezaji wake wote yaani Klopp anajichagulia tu acheze nani.
Mpaka saizi kwenye round ya pili hakuna aliyechukua point kwa Liverpool nyinyi Arsenal ndio mnataka mjaribu?
Marina sio mzuri kwenye scoutin, nimzuri kwenye negotiation, ila linapokuja swala la scouting yuko poor.Pale Liverpool hua wanakua na target wachezaji wengi ila kila mchezaji anaefuatiliwa kunakua pia kuna wachezaji wengine nafasi hio hio wanafuatiliwa yaaani 1st, 2nd, 3rd priority nk. Kwamba kama target ni mchezaji 1st akakosekana basi wanakwenda kwa 2nd ama 3rd priority na hii imesaidia sana Klopp tangu ametua. Tetesi ni kwamba hata Salah hakua 1st priority mbali alikua 2nd lakini tazama tangu atue alivyokiwasha.
Ni vimbaya sana kumletea wachezaji kocha na kumwambia fanya nao kazi kwani kila kocha ana mfumo wake.
Profiling ya mchezaji ni ngumu sana lakini kukiwa na hio department klabuni inasaidia na hapo Chelsea mnayo tangu 2008 in fact mlikua wa kwanza ama wa pili ku allocate resources za kutosha hayo mambo kwa kina EPL. Sijui nini kimewakuta sasa.
Kwa sasa kumbakisha Thomas itakua kama usajili mpya kwenu. Namwelewa mzee baba wa kapero.
YNWA
Sijatazama stat zake ile gemu lakini pass accuracy na pass completion alikua vizuri sana pia Klopp way false 9 ni ku link team play up front na link with MFs na dynamic RB na LB.Amejitahidi sana ,ndio kwanza kacheza Mechi 5 tu lakini anaoneka kufata maelekezo vizuri sana.
Ni Bobby kabisa maana sio kwa mikimbio ile sijaangalia distance covered ila atakuwa anayo nyingi sana.
Yeah sijui ni demu wa Roman πππ.Marina sio mzuri kwenye scoutin, nimzuri kwenye negotiation, ila linapokuja swala la scouting yuko poor.
Klopp is a huge admiral wa Graham Porter such a gentleman.Brighton boss Graham Potter:β£
β£
βHow good is Diaz? Itβs not rocket science is it, you can see that from the money they paid and where they bought him from. They still had two quality forwards on the bench. He did really well and it moves Mane central where he becomes a problem. β£
β£
βI said to the boys youβre playing against one of the best teams in the world. There is the Premier League and then thereβs another level and thatβs where Liverpool are. They deserved to win. I have huge respect for Jurgen.β #LFC [bbc]
Buying British players na utegemee makombe especially EPL iliisha na the so called class of 92 yaaani kwa sasa inabidi upige mixaArgentina, Brazil, Europe, Africa, Asia nk.Sasa hivi wanaona aibu wako kimya.
Waache ujingaHahaha huyu ataodoka bure.
Wasiwasi wangu ni je aodoke Salah, Mane, Firmino na baada ya msimu mmoja anaodoka Klopp 2024,hii sasa sio sawa kabisa.
Nwei ngoja tuone mipango ya klabu kwa hizi dirisha zilizobaki mpaka 2023 ambazo ni Juni 2022 na January 2023 wamejipanga aje.
YNWA
Inatakiwa mechi iwe kali kuliko ile tuliyocheza na ChelseaHahaha Kipara anasugua kichwa maana akina Salah pekee walikua wanamsumbua sasa ongeza hapo na jembe hili utaona namna gani ile mechi ya pale Ethad itakavyokua kali balaa.
YNWA
Kwa haya matokeo ya ugenini tunayopata inazidi kutujenga zaidi hali hii ikiedelea ki ukweli Kipara ana kazi ngumu sana siku hio.Inatakiwa mechi iwe kali kuliko ile tuliyocheza na Chelsea
Hahahaha ingekua Salah ni Mzungu Muingereza yaaani hawa ma pundits huko UK wangeanzisha mijadala kwa nini namba za Salah zinatosha alipwe hizo pesa anazotaka na kadhalika.Waache ujinga
Salah akiondoka nitawalaani sana.
Aende tu Man city na watatunyoosha kweli kweliHahahaha ingekua Salah ni Mzungu Muingereza yaaani hawa ma pundits huko UK wangeanzisha mijadala kwa nini namba za Salah zinatosha alipwe hizo pesa anazotaka na kadhalika.
Hakuna shabiki wa Liverpool anaesema Salah aodoke tumemchoka mbali hawa hawa pundits sijui wamepewa mpunga na FSG wa spin mambo kwa niamba yao ama ni chuki binafsi kama walivyowaaminisha key board fans msimu uliopita kuhusu Gini.
Haya mambo hua nyuma ya pazia kuna ishu nyingi sana zinaedelea na unavyofanya dili na hawa mabepari ndio kabisa watalaam wa ku lobby fans kutumia njia tofauti wawe upande wao. Muda utasema.
Pagumu sasa Salah amesema hata akiondoka Liverpool anatamani abakie England [emoji23][emoji23][emoji1552][emoji1552][emoji1552]kwa haraka haraka hapo ujumbe unatumwo kwa Manchester City, Chelsea mpya [emoji848], Arsenal au Tottenham. Hili sakata ndio kwanza asubuhi.
Au Manchester United awe kama Owen hahaha from hero to zero [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana sasa mkataba ukiisha anakua free kujiunga popote yaaani.
YNWA
Sema yule jamaa ni fundiKwa haya matokeo ya ugenini tunayopata inazidi kutujenga zaidi hali hii ikiedelea ki ukweli Kipara ana kazi ngumu sana siku hio.
Watakua wana presha balaa aafu sie wala tumetulia tuliiii.
Ngoja kwanza leo apambane na Viera.
YNWA