Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,589
- 235,447
Ewaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tena Cha mtema kuni
Waache ubahili
Waje wajeee[emoji23]Next game ni Arsenal.
YNWA
Hao wanapata story z vijiweni tuMkuu hizo ni tetesi if mmiliki asipopatikana n its impossible, kwa sababu wiki hii ndio mwisho wa kupokea bids zote, then mchakato mzima mpaka ukamilike na tupate mmiliki ni 6 week,probably mwez wa 4 katikati or mwez wa 5 mwanzon tutakuwa tuko chini ya mmiliki mpya.
Tetes zinasema anayeongoza ni Toddy Boehly-Wyss consortium tho kunawengine wamejitomeza Saudi Media inayoongozwa Mohamed Melkherjil, wengind niNicky Candy,etc
Watakaondoka ni wale ambao hawatakuwa kwenye mipango ya Tuchel,
Werner Dortmund wanamtaka,
Ngoja tuone hali itakavyokuwa
Hahaha huyu ataodoka bure.Waache ubahili
Wamuongeze hela bwana,hatutaki aondoke.
Hahaha Kipara anasugua kichwa maana akina Salah pekee walikua wanamsumbua sasa ongeza hapo na jembe hili utaona namna gani ile mechi ya pale Ethad itakavyokua kali balaa.Tena Cha mtema kuni
Yeah, Tuchel ni mtu muhim sana, katika hadhina aliyotuachia Roman ni huyu mjerumanManchester United wanamfizia kwa nguvu Thomas Tuchel endapo ataamua kusepa lakini pazuri kocha wenu kasema haodoki yupo sana ambayo ni hata kwa wamiliki watarajiwa watakua na imani wanaridhi kikosi madhubuti.
All the best man.
YNWA
😂😂😂😂😂Lamptey hakuamini kwamba amepigwa pin hata kushambulia sio kivile alivyozoea.Huyo dogo nilishangaa safari hii hajatusumbua kabisa kumbe alikuwa a Diaz huo upande,wakati naangalia nikauliza watu mbona simuoni lamptey wakaniambia yupo,nikashaanga kumbe upande wake alikuwa Diaz hakawa apandi mbele
Pale Liverpool hua wanakua na target wachezaji wengi ila kila mchezaji anaefuatiliwa kunakua pia kuna wachezaji wengine nafasi hio hio wanafuatiliwa yaaani 1st, 2nd, 3rd priority nk. Kwamba kama target ni mchezaji 1st akakosekana basi wanakwenda kwa 2nd ama 3rd priority na hii imesaidia sana Klopp tangu ametua. Tetesi ni kwamba hata Salah hakua 1st priority mbali alikua 2nd lakini tazama tangu atue alivyokiwasha.Yeah, Tuchel ni mtu muhim sana, katika hadhina aliyotuachia Roman ni huyu mjeruman
Natumai tukaenae mda mrefu n tumpe mahitaj anayohitaj na sikumletea wachezaj asiowahitaj
View attachment 2149989
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Le Captain hivi huyu ndio walisema kwa vile Leicester walicheka kuelekea benki na hundi ya £80m eti atakua bora zaidi ya VVD [emoji23][emoji23][emoji23]kweli ndoto zipo jamani.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lamptey hakuamini kwamba amepigwa pin hata kushambulia sio kivile alivyozoea.
Ki ufupi huyu dogo alivyoamsha naona kama sasa klabu ipo tayari kuwaachia Mane, Firmino na Salah, FSG wapo katika nafasi bora sasa ku negotiate na hawa wachezaji kuliko dogo Diaz hajatua. Tetesi ni kwamba ma scout wa Liverpool Ureno wako bizy sana kupata vipaji kama Diaz.
Huyu dogo anatisha kamshangaza mpaka Klopp maana anasema sio wale wachezaji wanaohitaji maelekezo na season nyingi kuelewa majukumu yake uwanjani.
Kwa sasa atupe burudani.
Kinachokosekana kwake ni magoli.
Mkuu umeona aje hii false 9 ya Mane bwana wee naona kama dogo amecheza vyema sana. Hajamfikia Bobby lakini ukizingatia sio namba aliyozoea aisee amejitahidi sana. Sidhani kama Klopp anabahitisha na haya mambo naamini pale mbele Juni 2022 kuna mchezaji anaodoka, kwa hali ilivyo sasa Bobby naona influence yake kikosini inazidi kushuka kwa sasa ukizingatia namba hio hio ndio anacheza Jota.
YNWA