Mimi kama Shabiki wa Salah nitasimama na salah wamlipe anacho stahili, pia itaniuma sana akiondoka, wale wanao sema sijui aliondoka Suarez, mara Coutinhoo kiukweli waache kujichetua. Salah katufikisha hapa tulipo sasa na kwamsim huu kwakuwategemea akina Takumi, Firmino isingesaidia aisee ila kijana ni mpambanaji sana.
Boys on [emoji91][emoji91][emoji91]
Kumkaba huyu dogo inahitaji moyo wa jiwe[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2148399
Kama unajua hakika unajua tu.
Kwa taarifa ni kwamba dogo Diaz mpaka sasa kingereza hakielewa hivyo inawapa shinda kiasi wachezaji wenzie /mazoezini uwajani lakini wanachoshangaa ni kwenye mechi dogo ana instinct za ajabu sanaa..
Anajua wapi awe kwa muda gani woow this is pure street football flavour.
YNWA
Hawa fans wa Liverpool wa humu ni f***kin problem wanajichetua humu eti kisa kina dias na jota kwa hiyo Salah hata akiondoka Haina shida ....ni vinabo level ya stg [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Salah kama hakuna mkataba wa kunzia 400k per week leave haijalishi utaflop au laah but utakuwa umetunza heshima yako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Msim huu tulikuwa na uwezo wa kucompete kwa epl, ila Injury tulizopata november ndio kila kitu kikaharibikia hapo.View attachment 2148397
Aisee hivi Lukaku na Werner wanakwama wapi kuleta impacts kama hii darajani kusaka ubingwa wa EPL msimu huu.
YNWA
Game na Arsenal inanipa wasiwasi sikuhizi wapo vizuri kweli
AnawashwaPambana na watu WAKO,salah salah salah KILA dakika....HAKUHUSU NA TIMU HAIKUHUSU...
That is our problem lil’ wee-weeHawa fans wa Liverpool wa humu ni f***kin problem wanajichetua humu eti kisa kina dias na jota kwa hiyo Salah hata akiondoka Haina shida ....ni vinabo level ya stg [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Salah kama hakuna mkataba wa kunzia 400k per week leave haijalishi utaflop au laah but utakuwa umetunza heshima yako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yeah man majeruhi mchawi sana EPL.Msim huu tulikuwa na uwezo wa kucompete kwa epl, ila Injury tulizopata november ndio kila kitu kikaharibikia hapo.
Kama unaweza cheza msim mzima usipate serious injury unao uwezo wa kupigania ubingwa ila injury siku zote ndio huwa kikwazo.
Na wasiwasi Porto watakata rufaa soon kwamba wameimbiwa na Liverpool maana sio kuupiga mwingi huu wa dogo Diaz.Kumkaba huyu dogo inahitaji moyo wa jiwe[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hahahaha we are in a mission man.Hao tulipata nao sare pale anfield,naona waliobaki wote round ya kwanza tuliwafunga kasoro man City na Spurs tu.
Imagine lugha ikianza kupanda atawaelewa vizuri walimu na wachezaji wenzake yaaani nyie subirini huyu dogo kawatia upepo mabeki timu pinzani maana hii work rate is tiresome yupo kila eneo.Dogo anapambana sana soon atakuwa world class player na yeye.
Anakimbia sana uwanjani yaani hawi mvivu.
Next game ni Arsenal.Boys on [emoji91][emoji91][emoji91]
YNWA[emoji3590]