Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

i stand with Mo Salah, wamarekani waache ubahili walipe watu mishahara wanayostahili maana ukifulia wanaku dump tuu
 
Kati ya arsenal au man u Kuna mtu atawabomoa .....keep watching [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
i stand with Mo Salah, wamarekani waache ubahili walipe watu mishahara wanayostahili maana ukifulia wanaku dump tuu
Hawa fans wa Liverpool wa humu ni f***kin problem wanajichetua humu eti kisa kina dias na jota kwa hiyo Salah hata akiondoka Haina shida ....ni vinabo level ya stg [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Salah kama hakuna mkataba wa kunzia 400k per week leave haijalishi utaflop au laah but utakuwa umetunza heshima yako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Pambana na watu WAKO,salah salah salah KILA dakika....HAKUHUSU NA TIMU HAIKUHUSU...
 
Mimi kama Shabiki wa Salah nitasimama na salah wamlipe anacho stahili, pia itaniuma sana akiondoka, wale wanao sema sijui aliondoka Suarez, mara Coutinhoo kiukweli waache kujichetua. Salah katufikisha hapa tulipo sasa na kwamsim huu kwakuwategemea akina Takumi, Firmino isingesaidia aisee ila kijana ni mpambanaji sana.
 


Kwa pamoja ebu tu wa appreciate ma scouts waliotutonya kuhusu huyu bwana mdogo.

πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘

Tuna jembe hapa.

Long live Diaz.

YNWA
 


Aisee hivi Lukaku na Werner wanakwama wapi kuleta impacts kama hii darajani kusaka ubingwa wa EPL msimu huu.

YNWA
 


Kama unajua hakika unajua tu.

Kwa taarifa ni kwamba dogo Diaz mpaka sasa kingereza hakielewa hivyo inawapa shinda kiasi wachezaji wenzie /mazoezini uwajani lakini wanachoshangaa ni kwenye mechi dogo ana instinct za ajabu sanaa..

Anajua wapi awe kwa muda gani woow this is pure street football flavour.

YNWA
 

Dogo anapambana sana soon atakuwa world class player na yeye.

Anakimbia sana uwanjani yaani hawi mvivu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…