[emoji1552] [emoji1552] Mbona kama Salah safari imeshafika.
Between the lines ni mtihani sana.
Klopp kasema mamuuzi yapo kwa kambi ya Salah waamue wao akisema Liverpool wamejitahidi mpaka mwisho wao.
Ajabu sasa haya ndio majibu ya wakala wa Salah Rammy Abbas ni vi emoji vya kucheka khaaa
View attachment 2147259
Mpaka hapa wakuu naamini Salah aidha mkataba utaisha asepe zake ama atauzwa endapo akitokea mteja kufika ofa powa.
Kwa namna mambo yanavyokwenda itahitaji muujiza Salah kusaini mkataba mpya Liverpool.
YNWA
Acha kuotaNachokiona hapa tutachukua hayo makombe 4 msimu huu baada ya hapo timu inapangaranyika salah mane wote watasepa.
Tutaanza tena kutengeneza timu tuanze kumvumilia kocha. Na wachezaji wengine watafata.
Ukishaona Klopp anasema wamefanya wawezavyo ujue haya mazungumzo yameshafikia mwisho, hata kwenye ishu ya Gini mazungumzo yalikua hivi hivi mwishowe huyoo akasepa zake bure.Nachokiona hapa tutachukua hayo makombe 4 msimu huu baada ya hapo timu inapangaranyika salah mane wote watasepa.
Tutaanza tena kutengeneza timu tuanze kumvumilia kocha. Na wachezaji wengine watafata.
unakatwa na Tuchel wewe..Bado Hyundai na NIKE kung'oka kwenye hilo Gauni lao.
jana norwich kakalia ..Bado moto ni ule ule ..Uefa lazima itue darajani hata iwejeNike watabeba nguo zao
Tutarudi vunjabei
Nao a ndio umezindukajana norwich kakalia ..Bado moto ni ule ule ..Uefa lazima itue darajani hata iweje
It is time for him to move on🙆🏿 🙆🏿 Mbona kama Salah safari imeshafika.
Between the lines ni mtihani sana.
Klopp kasema mamuuzi yapo kwa kambi ya Salah waamue wao akisema Liverpool wamejitahidi mpaka mwisho wao.
Ajabu sasa haya ndio majibu ya wakala wa Salah Rammy Abbas ni vi emoji vya kucheka khaaa
View attachment 2147259
Mpaka hapa wakuu naamini Salah aidha mkataba utaisha asepe zake ama atauzwa endapo akitokea mteja kufika ofa powa.
Kwa namna mambo yanavyokwenda itahitaji muujiza Salah kusaini mkataba mpya Liverpool.
YNWA
Which makes senseNachokiona hapa tutachukua hayo makombe 4 msimu huu baada ya hapo timu inapangaranyika salah mane wote watasepa.
Tutaanza tena kutengeneza timu tuanze kumvumilia kocha. Na wachezaji wengine watafata.
He will be sold
SureUkishaona Klopp anasema wamefanya wawezavyo ujue haya mazungumzo yameshafikia mwisho, hata kwenye ishu ya Gini mazungumzo yalikua hivi hivi mwishowe huyoo akasepa zake bure.
Uzuri chini ya Klopp kuna mipango hivyo sina shaka kama Mo Salah akiamua ofa ya klabu sio sawa anasepa naamini Klopp ana plan B, tetesi ni kwamba wanarejea tena Ureno kwa Porto na kwa dogo Darwin Nunez pale Benfica na bei za kule sio komoa.
Usiwe na shaka kabisa kaka tupo katika mikono salama kabisa.
YNWA
Acha matusi dogounakatwa na Tuchel wewe..
Moto ni ule ule
Abramovic mbona kaweka maslahi mbele na ndio maana anataka kumpa mmiliki atakayekuwa na mipango mizuri yakuiwezesha chelseafc kuzidi kushine ndio maana waliwakatalia wale wa marekani wawekezaji kwa kuona miyeyusho watathamini fedha Zaidi.Abromovic anajua kabisa kama atawaachia Uk Government kuna uwezekano akapatikana muwekezaji asiye sahihi wa kuindesha chelseafcNi wale Warusi wana kiburi moja matata sanaa yaaani.
Inahitajika aweke maslahi ya klabu mbele ili muwe salama.
YNWA
Hamna kipa hapo
mkuu sisi chelsea ni imara kuliko unavyodhani. Hili janga lingetua hapo kwenu liver basi hata klopp angeshawakata kitambo.Nao a ndio umezinduka
Vipi wamekumwagia ndoo ngapi za maji?
Ni mwendo wa amani, upendo na miujiza tu sasa
Kama namungo vile
Umesahau adder and the chimps nearly got us relegatedmkuu sisi chelsea ni imara kuliko unavyodhani. Hili janga lingetua hapo kwenu liver basi hata klopp angeshawakata kitambo.
kwa staili ya uchezaji wa Liverpool mo awe makini sana na anakotaka kwenda ikiwa ataondoka maana anaweza angukia timu inayocheza system tofauti aka flop. Liverpool system suites mo.