BwahahahahaaaaaView attachment 2145473
Mashabiki wa Chelsea ndio maana wana mnajitoa machungu kwenye jukwaa pendwa la Majogoo.
Ni rasmi sasa Chelsea ni mali ya Malikia.
OllaChuga Oc
Ryana
42774277
Hziyech22
Habari mpya ndio hiiiii.
YNWA
Figisu tu za waingereza. Roho mbaya.Sure naona tayari mmeshaanza kuimba huko wenzetu
Hahahahahaaaaaaaaaaa
Bhana niliwaambia wakati hii vita inaanza wa kasema haiwezekani Chelsea ni zaidi ya Malikia πππππππππKumbe ndio maana wanalialia humu
BwahahahahaaaaaaaaaFigisu tu za waingereza. Roho mbaya.
Wanaombea vita iisheBhana niliwaambia wakati hii vita inaanza wa kasema haiwezekani Chelsea ni zaidi ya Malikia πππππππππ
Sasa Johnson kashamaliza haya maneno hakuna tena kuuzwa timu hapa.
Watulie uzi wao walie huko huko sijui watasema goli la mkono kapiga Johnson ππππππππ....
Mrusi kwishinie pamoja na ahadi nusu ya mpunga angeupeleka Ukraine kusaidia waadhirika wa vita lakini ndio bye bye sasa.
Ukiachana na kununua wachezaji kwingine wako vizuri kibiashara sitegemei kuona wakikwama.
Sana sana ule uwanja sasa hawahami tenaaaa mpaka karne ya ngapi hukoooooπππππππ
Walishapulia Carabao haha sasa wamepigwa noki out kali sanaaa.
YNWA
Hapana cheza na Waingereza wakiamua lao ππππππ.Bwahahahahaaaaa
Yaani sasa hivi watafuatilia vita kuliko sokaHapana cheza na Waingereza wakiamua lao ππππππ.
Sasa na wekedi hii mashabiki wao wakajifanye kumsifia huyu Mrusi kama hii timu yao haijafutwa rasmi kushiriki Ligi Kuu ππππππ
YNWA
πππππππSijui ule mjengo wa Roman pale UK apewe tu Klopp kwa heshima ya mchango wake pale Uingereza.Wanaombea vita iishe
Kama walikua mazoezini nina uhakika yamesitishwa mpaka pale wataambiwa ππππππ....Yaani sasa hivi watafuatilia vita kuliko soka
Itakuwa kaliona wanashangilia mno..Au kalitaka kuwaumiza mashabiki wa Liverpool kaka sahau ndio penati ya mwisho maana khaa unapaisha aje vileeeee.
YNWA
Wanatia huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bhana niliwaambia wakati hii vita inaanza wa kasema haiwezekani Chelsea ni zaidi ya Malikia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Johnson kashamaliza haya maneno hakuna tena kuuzwa timu hapa.
Watulie uzi wao walie huko huko sijui watasema goli la mkono kapiga Johnson [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Mrusi kwishinie pamoja na ahadi nusu ya mpunga angeupeleka Ukraine kusaidia waadhirika wa vita lakini ndio bye bye sasa.
Ukiachana na kununua wachezaji kwingine wako vizuri kibiashara sitegemei kuona wakikwama.
Sana sana ule uwanja sasa hawahami tenaaaa mpaka karne ya ngapi hukooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walishapulia Carabao haha sasa wamepigwa noki out kali sanaaa.
YNWA
πππππππππππππππHahahahaha kale unafahamu walikanunua zaidi ya Β£70mπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺItakuwa kaliona wanashangilia mno..
Kakasema ngoja niucharange mpira hadi upasue nyavu uwapige usoni hawa mabwege.
Hivi ule mpira si ulitoka nje ya jukwaa la uwanja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dadeq[emoji847][emoji91]View attachment 2145522
Tazameni ma straika wa majogoo wa ela ya madafu wanavyofumania nyavu.
Klopp na Edwards hakika ni ma genius.
YNWA
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Hahahahaha kale unafahamu walikanunua zaidi ya Β£70m[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Juni 2022 ndio wa kwanza kusepa huyu.
YNWA
I love Liverpool.Dadeq[emoji847][emoji91]
Hii ni liver [emoji2956][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji108]
Imajini Kepa aliewagharimu mammilioni vs Kelleher ambae nadhani tulimpata bureeeeeee πππππππna Kelleher akanyanyua kwapaaaa.Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanachezea hela
Roho inawaumaje kuona wanafungwa na wachezaji wetu wa pesa za madafu.
Naipenda hadi nahisi kupaa[emoji3059]I love Liverpool.
Hii Liverpool utaipenda bure tu.
YNWA
Aisee msiba uko wapi?Figisu tu za waingereza. Roho mbaya.