Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuombwa msamaha?

Huo wehu hatutaki kuusikia.
 
Aisee kwa lile shuti lake itakuwa kweli mpira umetua Kasulu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Umetua jana hivyo yaaani alivyoingia kwa bwebwe sasa aka Penati Specialist hahaha kumbe wazee wa paneka wametulia wanamwangilia tu yaaani atakua anaota mpaka sasa.

YNWA
 
Wamlaumu yule Kepa aliyewapaishia mpira mawinguni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umetua jana hivyo yaaani alivyoingia kwa bwebwe sasa aka Penati Specialist hahaha kumbe wazee wa paneka wametulia wanamwangilia tu yaaani atakua anaota mpaka sasa.

YNWA
Mi nilikaona kanavyoviringa Mpira kwenye jezi huku wamekazingira pembeni
Nikasema hapa hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa Mbeya tunasema "No mbombo"
 
Wamlaumu yule Kepa aliyewapaishia mpira mawinguni
Wanamvyomtetea sijui kawapa makombe gani hukooo...

Watajiju.

Vijana wetu wamenyanyua kwapa Wembley hahaha ilikua tamuuu sana.

Its always sweet kuwachapa Chelsea haha tena upande ule ule waliokaa mashabiki wa Liverpool huku wakipiga shabgwe sana.

Worst sub for the season itakua ile ya Mendy Carabao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
 
Mi nilikaona kanavyoviringa Mpira kwenye jezi huku wamekazingira pembeni
Nikasema hapa hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa Mbeya tunasema "No mbombo"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sijui kwa nini haukutua Mbeya haha ungepiga ela ndefu maana huo mpira unasakwa utauzwa kwa mnada ujue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...

Kalijitia lesi kama boxer mpya kumbe kanaeda kuuza picha

YNWA
 
Hivi MosDef yuko wapi anipe connection jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anipe japo namba ya Joel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo kazi maluum tumpate Darwin Nunez msimu ujao tutangaze ubingwa mwezi wa pili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
 
Jamaa fundi sana wa kupaisha
Ana kengeza la mguu aisee..ile penati hata ningepiga mimi nisingeipeleka kule .

Itakuwa nao wamekuwa nyumbu aisee,
Wanamteteaje mtu amepiga mpira Hadi umekuja kutua kigoma[emoji1787]
 
Ungetua hapa green city ningeuokota Kwa bashasha sana maana ni maajabu haya Mpira wa penati unapigwa vile.
Kepa fundi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…