OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,323
Inter waliwakula bahati tu imewabeba nyie kuku.View attachment 2140608
Mechi 6 tulizocheza hivi karibuni matokeo ndio haya.
Ubao umependeza sana.
Tuna Inter Milan Anfield na wekedi tupo na Brighton ugenini. Natarajia Thiago awe amepona.
YNWA
hizi kuku zikishindaga tumechi tuwili basi wanaona kila kitu tayariπππSi mlikuwa mnasema mtacheza final na PSG soon mtaungana nae makcheze final yenu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]
umenipiga ngapi?Hii takataka tuliyoipiga wembley?
Juve sasa hivi miyeyusho...Wazee mmefungwa jana, Liverpool huwa kibonde sana kwa timu za Serie A, No wonder Napoli aliwafunga anavyotaka, cant wait Liverpool vs Juventus.
Weeeeee... Tutawalaza na viatu this timeLiverpool anakutana na Chelsea au Man City wakiqualify.
Nightmares za 2008 na 2009Namtaka Chelsea fainali haha.
YNWA
Mngefungwa ndio ungejua hizo post mlizohit ni Non senseTusisahau we did hit goal posts three times
VVD alikaba kama MagwayaAisee Mnajiamini Sana[emoji23][emoji23][emoji23] Jana na vvd wenu inter wakawatoboa anfield
Chelsea anawasubiri....
Hahaha umesahau ya Super Cup na Carabao hivi karibuni.Nightmares za 2008 na 2009
Hayo hayatuhusu tupo robo fainali mtajijua huko Darajani.Inter waliwakula bahati tu imewabeba nyie kuku.
#CFCπππ
Huyu dogo natamani aurudie huu muonekano wake[emoji91]
Roman ametumia zaidi ya usd 1.5 billion hapo Chelsea tangu 2003 ajabu ana Champions League 2 tu katika kipindi hicho pamoja na makocha na wachezaji bora aliosajili.misimu mitano ya klopp ndio amebeba makombe hayo wakati Tuchel amebeba ndani ya msimu mmoja tu tena katikati ya msimu.
#CFCπππ
Duuh wewe kwa Ma HB wenye rangi zao haujambooooo. π₯π₯π₯π₯π₯πππππHuyu dogo natamani aurudie huu muonekano wake[emoji91]
Aisee tuna nafasi ya kusaka pointi 33 mpaka ligi inaisha.
Kwenye mpira alievuka kwenda hatua ya pili ndio mshindi hayo sijui tumekoswakoswa hayana maana yashapita, mpambane sasa tukutane nusu au robo au faino.kwani ligi imeisha? lolote linaweza kutokea tu.
Juzi umekoswa koswa na inter milan ..muda utazungumza
#CFCπππ
Huko hamna VAR z figisu za waingereza [emoji23]Weeeeee... Tutawalaza na viatu this time
Nilianzaga kukapenda haka hata kabla ya JoelDuuh wewe kwa Ma HB wenye rangi zao haujambooooo. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA