Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Kabisa ndugu aafu hivi ile njano ya kwanza ya Sanchez ni red maana nilijua Thiago ndio basi tena, yule Sanchez jana alikua wa kutoka tu hakuna namna.We didn't play well today we were lucky when Sanchez got red la sihivyo mambo yangekuwa magumu zaidi
Kabisa ndugu aafu hivi ile njano ya kwanza ya Sanchez ni red maana nilijua Thiago ndio basi tena, yule Sanchez jana alikua wa kutoka tu hakuna namna.
Salute kwa Inzaghi aliwaada vyema wachezaji wake.
YNWA
Its' football, Liverpool ipo capable kumchapa yeyote ktk world club level, pasi na shaka. Game ya jana tu, isiwe tathmini pekee ya kubezwa ktk uwezo wa Liveprool.Hivi ndio tunaenda kukutana na bayern au?
Kama utakua umeangalia mechi ya Chelsea Carabao , Norwich, West Ham na Inter mechi zote bila shaka utakua umeona vijana ni kama wana kauchovu na vile sio machini inakumbalika, cha msingi Klopp na jopo lake wayafanyie kazi madhaifu yale maana bado tuna gemu kama 15+ endapo tutasonga mbele mashindano yote.Game ilikuwa tight ila inter walikuwa na bahati zaidi...maana mipira imegonga post mara tatu vinginevyo wangelala mapema tu....hatupo vibaya sana kiasi cha kuanza kutoa lugha za kwamba hatuwezi kubeba chochote.vijana wanapambana sana uwanjani lazima tuwe na maneno ya kutokatishana tamaaa wakat timu bado ipo kwenye mashindano yote makubwa hadi kufikia march.
Definitely ile ni nyekudu any day na alivyotoka tu hio man marking yao ikiashia hukooooo na jamaa mbinu zikakata wakapambane watetete Serie A yao.He was lucky to be on the pitch in second half
You were tactically outclassed, binafsi naonaga Serie A is the best tactical league.Its' football, Liverpool ipo capable kumchapa yeyote ktk world club level, pasi na shaka. Game ya jana tu, isiwe tathmini pekee ya kubezwa ktk uwezo wa Liveprool.
Si kweli mkuu, Intermilan was the better side, nimeona jana liverpool akishindwa kuplay out hata walipojaribu kwenda long still intermilan walikuwa na superior structure kwenye counterpressing ndio maana walikuwa wanawin sana second balls, ukiangaalia hata goli walilofunga ilikuwa ni transition na Liverpool huwa hawachezi vile credit kwa pressing structure ya Intermilan iliwanyima uhuru sana tena ndani ya Anfield, Inzaghi is genius.Definitely ile ni nyekudu any day na alivyotoka tu hio man marking yao ikiashia hukooooo na jamaa mbinu zikakata wakapambane watetete Serie A yao.
YNWA
Liverpool anakutana na Chelsea au Man City wakiqualify.Wazee mmefungwa jana, Liverpool huwa kibonde sana kwa timu za Serie A, No wonder Napoli aliwafunga anavyotaka, cant wait Liverpool vs Juventus.
Kama tulivyofanya wembley?Hii timu inafungika bana ....Jana inter alitaka kufanya yake
Liverpool ametesa sana timu z italyWazee mmefungwa jana, Liverpool huwa kibonde sana kwa timu za Serie A, No wonder Napoli aliwafunga anavyotaka, cant wait Liverpool vs Juventus.
Can't say otherwise Inzaghi did his homework really well, stop the sides(Robbo n Trent) and we are toothless.Si kweli mkuu, Intermilan was the better side, nimeona jana liverpool akishindwa kuplay out hata walipojaribu kwenda long still intermilan walikuwa na superior structure kwenye counterpressing ndio maana walikuwa wanawin sana second balls, ukiangaalia hata goli walilofunga ilikuwa ni transition na Liverpool huwa hawachezi vile credit kwa pressing structure ya Intermilan iliwanyima uhuru sana tena ndani ya Anfield, Inzaghi is genius.
Namtaka Chelsea fainali haha.Liverpool anakutana na Chelsea au Man City wakiqualify.
Dah! Serie A huwa inatudhibiti sana aiseeWazee mmefungwa jana, Liverpool huwa kibonde sana kwa timu za Serie A, No wonder Napoli aliwafunga anavyotaka, cant wait Liverpool vs Juventus.
Tusisahau we did hit goal posts three timesCan't say otherwise Inzaghi did his homework really well, stop the sides(Robbo n Trent) and we are toothless.
Whats more worrying hatukua na plan B to navigate through.
Ile kadi ya pili ya Sanchez was crucial to us otherwise not a good night and Klopp was honest we lost the balls in very bad situation and we did not win the second ball as expected.
Liverpool superior system is winning the second ball and immediately we attack lakini jana passes were being blocked, poor crossing yaaani we didn't click.
Otherwise at times in football even luck counts, we were unlucky to hit the post.
YNWA
Wazee mmefungwa jana, Liverpool huwa kibonde sana kwa timu za Serie A, No wonder Napoli aliwafunga anavyotaka, cant wait Liverpool vs Juventus.
We were unlucky jana with converting the chances we had. But again ni mpira ulivyo sometimes yes sometimes no.Tusisahau we did hit goal posts three times
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Wewe mpe tu leo Inter Milan anakuja machijio hawezi kutoka.
YNWA
Ila Thiango muhandsome jamani chaaaa!