Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,745
Kesho tunampiga man utd mapema ,,gap liko pale pale mkuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2140372
Pain killer ubao ndio huo. Haya kazi kwako na Kipara mpate jibu au mlegeze na hatutanii tunalitaka kombe sie.
YNWA
Huyu mtoto hatari. Kagusa mpira mara 123 hakuna mchezaji mwingine aliefikia 100 touches. Kounate 98 na Robbo 98 ndio waliomkaribia.View attachment 2140377
Huyu dogo duuh leo katoa pasi ya goli na pia kaokoa goli la wazi kabisa.
Salute this Scouser.
Kazi yake leo inakumbalika.
YNWA
Umeshindwa karabao utaweza ucl?uyo mununuzi lazima afuate utaratibu uliopo ..sisi ni makombe tu
Na msimu huu UEFA inatuhusu tena.
Sisi tunasubiri mbanga yeyote fainal tumle nyama.
Hawa madogo Trent na Robertson sijui hua wanakula nini aisee maana utawaona mbele kushambulia lakini pindi tukishambuliwa utawaona tena wanakimbia nyuma kulinda yaaani leo Trent kaokoa goli na Robertson kaokoa nafasi ya kufungwo kwa kumtuliza Antonio ndio Keita akapata nafasi kuweka block.Huyu mtoto hatari. Kagusa mpira mara 123 hakuna mchezaji mwingine aliefikia 100 touches. Kounate 98 na Robbo 98 ndio waliomkaribia.
Sawa ndugu. Huyo Manchester United pigaaaa hata 5 poa kabisa ashuke hukooo EuropaKesho tunampiga man utd mapema ,,gap liko pale pale mkuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wee maskini jeuri, hamuwezi kuchukua ubingwa City asipotelezaHatuhitaji ubingwa wa kusaidiwa na Manchester united hatutaki ubingwa wa masimango kwetu, Tutapambana wenyewe na bahati nzuri bado tuna mechi na City.
Kesho Manchester united APIGWE ZA KUTOSHA.
Yacine tv IPO...iko good pia
Anzia alipoanzia fsgkwani FSG tangu wameinunua liverpool wameleta makombe mangapi apo anfield?? unadhani sisi tunafanya biashara kiholela ..tangu 2010 mpaka leo hii liverkuku ina makombe mangapi? Roman ni legend ataleta wa aina yake.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Hahahahahaaaakwani FSG tangu wameinunua liverpool wameleta makombe mangapi apo anfield?? unadhani sisi tunafanya biashara kiholela ..tangu 2010 mpaka leo hii liverkuku ina makombe mangapi? Roman ni legend ataleta wa aina yake.
#CFC💙💙💙
Tofauti yetu ndio iko hapo....TIMU BORA IKIWAZA UBINGWA WEWE UNAWAZA NAFASI YA PILI...aisee katulie tusisi hatuna mupango ma nafasi ya tatu ..Sisi tunaitaka hiyo ya pili
Ubaya ubaya tu[emoji28][emoji28]Hatuhitaji ubingwa wa kusaidiwa na Manchester united hatutaki ubingwa wa masimango kwetu, Tutapambana wenyewe na bahati nzuri bado tuna mechi na City.
Kesho Manchester united APIGWE ZA KUTOSHA.
Hamtaki tena Ubingwa?sisi hatuna mupango ma nafasi ya tatu ..Sisi tunaitaka hiyo ya pili