Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kapambane kusaka mteja msije angukia pua darajani...

Hivi yule bilionea Laizer si umpe dili ainunue hii timu chap maana muda si mrefu mtajikuta mnamilikiwa na Malkia hivi hivi.

YNWA
kwani FSG tangu wameinunua liverpool wameleta makombe mangapi apo anfield?? unadhani sisi tunafanya biashara kiholela ..tangu 2010 mpaka leo hii liverkuku ina makombe mangapi? Roman ni legend ataleta wa aina yake.

#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
 
kwani FSG tangu wameinunua liverpool wameleta makombe mangapi apo anfield?? unadhani sisi tunafanya biashara kiholela ..tangu 2010 mpaka leo hii liverkuku ina makombe mangapi? Roman ni legend ataleta wa aina yake.

#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
Tulia hivyo hivyo timu ipo sokoni inapigwa mnada haha najua inawauma sana kwani Roman yeye anachojua ni kushinda tu hakuna sijui kujenga kikosi bla bla yeye anataka makombe tu na ela ilikuwepo sasa tetesi mnaangukia kwa Mswisi au Yankees haha ndio utaelewa vyema ile policy ya sell to buy ina maana gani..

YNWA
 
uyo mununuzi lazima afuate utaratibu uliopo ..sisi ni makombe tu

Na msimu huu UEFA inatuhusu tena.

Sisi tunasubiri mbanga yeyote fainal tumle nyama.
 
Hizi hate duh[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
upo apo buza sijui tandale kwa tumbo ..umeishashiba maharage na chapati za mama mshana ..sasa umeweka tu mguu juu unajamba ushuzi matokeo yake ndio unaandika upumbavu kama huu.

#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…