Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Penati hua hazina mwenyewe nina uhakika siku nyingine Thomas Tuchel hatamtoa Mendy ili Kepa aingie kudaka penati, ile sub ilikua kamari na angeokoa mbona bei yake June 2022 ingekua balaaa 😂😂😂.. We were lucky maana kwa penati you need luck.

Manchester United ni kijiwe cha kupiga ela aisee hivi kweli waliamini Ronaldo anawarejesha kileleni haha gemu 10 sijui anagoli 1 yaaani na mshahara wa zaidi 1 billion tsh ni aibu. Wakati mwingine kama hawa FSG hua nawaelewa na policy zao za kununua ma kinda tu with exception ya special talent kama Thiago.

YNWA
 
Kama hazina mwenyewe basi Tuchel hakuwa na haja kumtoa Mendy.
Ila jamaa alinikosha roho yangu alovyopaisha..
Yaani na Mimi niliinuka juu kama Mpira mpaisho wa Kepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].



Ifike mahala man u ivunjwe tu,wauze kila kitu wakalime.
 
Ila Leeds wameporomoka kwa kasi ya 5G. Wamegawa pointi kama njugu bora yule babu katimuliwa wacheze mfumo unaoedana na wachezaji walionao wazima.

Otherwise gemu ili balance ndio maana tukafika matuta tukafanye jambo moja its coming home la 9.

YNWA
Bielsa alikuwa anawashusha leeds, watu walikuwa washamjulia,
 
Hahahahaha wakalime jamani ndio tumewachoka hivyooo ni shindaaaaa.

YNWA
 
Mwenye update ya majeraha ya Thiago Alcantara.
Ni misuli ya paja(hamstring) inamsumbua uzuri anaweza kupona ndani ya wiki hii kwani kuto cheza Jumapili dhidi ya Chelsea kulimsaidia hakutonesha jeraha na kurudi sasa ni aidha mechi ya Westham au Inter Milan.

YNWA
 

Mkuu nawaza hapa [emoji3],inawezekana msimu huu hii ikawa ndio Liverpool bora kuwahi kutokea,kama ikienda hivi makombe yote yaliobaki tukayabakiza pale anfield?
 
Hahaha binafsi hua nasema mara nyingi tu usajili bora wa Klopp kwa ukuta ni Alisson na VVD yaaani hawa wawili wamatuletea mafanikio unayona..

Mtalaam Fergie alikua anasema ukuta imara akimaanisha na kipa utakupa makombe na hakika alikua sahihi kabisa.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…