Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu dogo akiwa updated zaidi ya hapo atakuwa monster aise, aongeze pumzi zaid naona leo pumzi ilimzimikia kuna muda.
All in all anastahili kila safa aise na tumelamba garasa hapa.
Uyu chalii kaja kawakuta kawaacha, kiwango yake ni habari nyingine
 
Huyu dogo akiwa updated zaidi ya hapo atakuwa monster aise, aongeze pumzi zaid naona leo pumzi ilimzimikia kuna muda.
All in all anastahili kila safa aise na tumelamba garasa hapa.
Hivi najiulizaga unatoa aje £100m kwa Grealish wakati kuna chipukizi kama huyu kwa bei cheee.

Aafu umesikia tetesi?

Tunarudi Ureno tena Juni 2022 mazima Benfica kumchukua Darwin Nunez yaaani maisha Anfield yanazidi kua matamu.

Katazame stat za Darwin utaona alivyo.

YNWA
 
Baadala ya kuwaza nani atawalipa mishahara na posho zenu we unawaza fainali nyingine, labda 2025.
So long brother, time for regime change
Unadhan tim za wenzet ni kama za bongo.

FYI-Roman still ni mmiliki wa tim,.
 
Ndo uingereza hio, utaambiwa Elliot ana thamani kuliko Diaz
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…