Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah! Shida la hii thread viingereza mixer kiswahili ni vingi sana, hivi ukiichambua football kwa kiswahili utapungukiwa na nini? Senene ukichanganya na dagaa unaweza harisha aisee
 
naamini pia talent anayo ila hai isaadii kitu LFC na namna tulivyoaminishwa kuhusu huyu mchezaji, Matip ni majuruhi sawa ila nadhani unaona impact yake pindi anaporudi, shakir alikua hana game time nyingi lakini impact aliyokuwa nayo pindi akipewa nafasi unaiona, KEITA ni gunia la misumari LFC imejitwisha, ni muda wa kulitua
 
Dah, hivi unaangalia mechi Keita anapocheza kweli?
 


Leeds pamoja na msimamo wao kwenye ligi unasoma pointi 23 wakiwa nafasi ya 15 lakini majeruhi msimu huu yamewamaliza na angalau sasa wameanza kurejea japo nako Jumapili wamepata injury mpya kwa Robin Koch.

Umesema Klopp acheze kamali na ile Mf ya Keita, Ox, Henderson kwa 4 3 3. Hapo Mkuu hawa jamaa watatumaliza mapema sana. Ukumbuke falsafa ya Marcelo Beisla ni kushambulia tu mambo ya back pass ni pale hakuna namna ndio maana hata hizo attachment zinaonyesha wana Epl highest attacks ila wanakosa wachezaji sahihi kufanya hayo mashambulizi yazae magoli. Kukosekana kwa Bamford na Kalvin kunawanyima sana wachezaji wawili tegemezi kwao.

Kwa gemu ya leo MF ingekua bora starters MF Fabinho Jones Ox. Kwa sasa ili kuweka balance pale kati lazima Fabinho au Thiago mmoja wao aanze otherwise nina uhakika Ox Henderson Keita hawawezi kuzima threat ya Leeds na by the time Klopp aseme weka sub tutakua tumeumia.

Tuchululie mechi moja baada ya nyingine tusichukulie jumla jumla hata Pep kile kipigo cha Spurs kilmstua kama ambavyo na sisi tulishangaa hivi ulimuona wakati Kane anafunga la 3 jamaa alipagawa.

Kwa Klopp kama Klopp leo Thiago Fabinho Trent Robertson wote ndaniiii.

YNWA
 
Sasa Leo mnacheza ,Hadi kesho
 
Hii debate ya Henderson ki ufupi itaisha siku tu akiondoka zake Anfield ama awe kama Milner na sio tena serial starter kama alivyo sasa akiwa mzima. Akiwa Captain ndio kabisa tunae.
Henderson akicheza MF upande wa TAA anakua janga sana na hilo Klopp hakwepi pindi anapocheza 4 3 3. Lakini mechi ya juzi alicheza double pivot kwa msaada wa maestro Thiago angalau alianza kuchakata pasi zenye maana na kuleta madhara. Shinda kubwa hapa kwa Klopp ili huyu dogo Henderson acheze sitter ina maana Fabinho/Thiago mmoja awe benchi na pia Klopp pindi anapocheza na attacking Dynamic Fullbacks hua anatumia 4 3 3 na sio orthodox 4 4 2.

Kocha kama mwalimu ni levo zingine kwa kimfumo unaoedana na kikosi na opponent tunaecheza nae wakati huo. Kwa hizi gemu mbili mwalimu na jopo lake wamefanya sub za kubadili matokeo kwanza tushukuru kua na benchi limesheheni game changers sasa.

Fully fit Thiago ni world class mtihani sasa ni ku manage gemu time ili awe fit muda anaohitajika aisee.

On paper tunagemu ngumu sana hivyo Thiago management iwe top class maana tupo almost Mashindano yote na kikosi kina wachezaji wa ku sustain ushindani.

Klopp kwa mara ya kwanza amekua na utajili wa kikosi, hata mechi ya Norwich Jones hakua kwa benchi. Jota na Bobby wapone kwa kweli.

Vs Leeds tuweke full mkoko. Vs Chelsea fainali hua haina mwenyewe vijana watapambana wawezavyo kunyanyua kwapa.

YNWA
 
Mkuu hatuna chuki na Captain mbali output yake is way below expectations zetu na akiwa Captain wa timu anatakiwa atuongoze kwa mfano.

Amekua yupo kawaida sanaaaaaa uwanjani ila nje ya uwanja wanasema ni real gentleman especially mambo yanayohusu Liverpool na hata kwenye dressing room wanasema anahamashisha mno vijana nk ila tu uwanjani ndio binafsi hua sioni akileta ufanisi kiasi asipokuwepo tutaadhirika kama ambavyo hua tunaadhirika kwa Thiago, Fabinho.

Uzuri ni kwamba akifanya vyema kwenye na ambapo ni nadra sana hua natoa salute kwake kama ambavyo nafanya kwa wengine wanaofanya vyema.

Henderson akicheza na Thiago/Fabinho kati anachakata pasi amekua na influence kwenye gemu kiasi fulani.

Tunacheza 4 3 3 Attacking manake tunajua kwenda mbele tu hakuna kurudisha nyuma mpira unless necessary kama pale tunakosa killer pass mpira utapigwa side ways sana mpaka pale wataona channel ya pasi sana sana atakua TAA au Robertson.

He is Captain for a reason and only Klopp knows.

YNWA
 
Bhahaahaaa!..Mkuu vip mbon hujamweka everton kama kikwazo kwa city...nimechek kwasabab next game ya city ni dhidi ya everton na kuna forum moja ya uko UK...fans wa toffees wanasem iyo game watambless city point tatu pia ata united anawez wasimkazie sana city maan by any chance mtakayopata nyie na ikapelekea kushinda epl title maana yake mtakuw mumewafikia record yao ya 20-titles...it's very likely wasikaz san kwetu kuliko watakavyowakazia nyie. Bado race ni ngumu ila worries kwa city naona ni liver, westham, palace na wolves but lets wait and see...at the moment you should thanks spurz kwa kuwarudish kwenye title race!!!
 
Mechi 6 zijazo Ligi Kuu kwa Manchester City. Wana michezo mitatu ugenini na mitatu nyumbani.




Mechi 6 zijazo kwa Liverpool Ligi Kuu. Tuna mechi 4 nyumbani na ugenini mechi 2 ugenini. Hii ya Arsenal itakua ni kiporo kinatokana na Carabao fainali Wembley.



YNWA
 
Kwa hiyo Leeds united mshamfunga na mshachukua point 3 tayari .....mbona mnamatarajio makubwa Sana hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

11 players Vs 11 players

Mkuu wewe umeanza kushabikia mpira lini? Yaani tufungwe na Leeds na wakati wachezaji wako fiti?

Hao Leeds wanaofungwa na Man U goli Za kutosha sisi tuko kamili ndio watufunge Kweli,uko sawa mkuu au bado una wenge la Spurs? Kuna timu kabla ya mechi unakuwa Na wasiwasi sio Leeds.hao tunaondoka na point 3 asubuhi na mapema yaani uhakika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…