OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Unawafunga wachovu inter Milan ..unajiona una timu ..wanaume tumerudi kutoka kwenye majukumu ya kubeba cwc, tumekuja kuchukua nafasi yetu.View attachment 2121669
Ukiona kabisa wachambuzi wenye uhusiano na Manchester United wanatusifia hivi ujue kabisa tupo
vizuri.
Sasa OllaChuga Oc nani wewe kama hujakumbali Liverpool tunaogopeka hata Pain killer hataki apangiwe Liverpool
YNWA
Elliot tu hao wengine watampisha njia huyu Dogo.View attachment 2123885
Aisee tunasubiri nyota mpya aanze kuchaja mbuga na magoli, assist nk.
Utabiri hii vita itakua kati ya Haaland vs Mbappe. Kazi kwao.
YNWA
Na iwe Kama ulivyonena...YNWAUshindi mwingine muhimu kwetu leo, huku City wakipoteza kwa 2-1
Kwa umri wake na anavyoaminika na Klopp pale Anfield hakuna cha kumzuia kabisa.Elliot tu hao wengine watampisha njia huyu Dogo.
DuuuhView attachment 2124046
Seven changes for LFC. Diaz, Gomez, Matip, Tsimikas, Henderson, Keita and Oxlade-Chamberlain come into the starting XI.
YNWA
Hii MF sijawai kuiona ikicheza pamoja Ox, Keita, Henderson.D
Duuuh
Nahis leo defence itakuwa exposed sana kwa ukosekanaji wa FabHii MF sijawai kuiona ikicheza pamoja Ox, Keita, Henderson.
YNWA
Klopp kaangalie mechi mbili zijazo muhimu sana naona..Nahis leo defence itakuwa exposed sana kwa ukosekanaji wa Fab