Yaan Fab3 huyu jamaa ni kisiki na nilianza kulijua vizur kabisa zile game vs bayern
Kama mnataka kutoka kwenye mashindano mapema ,ombeni draw na man city robo final [emoji23][emoji23]
Hakuna wakumtisha wewe huna Hata uefa moja kelele kibao.
Uefa kule wewe ni wakawaida tu. Na wewe hivi tukizungumzia uefa wewe kweli utatoka mbele kujigamba?
Kwenye UEFA CL hupaswi kuongea hata mbele ya Aston Villa au Nottingham forest....wewe NI panya..Unaongea huku unaogopa ...
He is a tough but humble guyView attachment 2121659
Duuh Klopp hua hii kazi anaimudu vyema sana. Sifa zote kwa wasaidizi wake kwa goli la kwanza.
YNWA
Hivi mtu ambaye hajui hata winning UCL ina maana anapata wapi courage ya kupiga perepete humu?Unaongea huku unaogopa ...
DahKama mnataka kutoka kwenye mashindano mapema ,ombeni draw na man city robo final 😂😂
Dah
City amtoe Liverpool ucl?
Mod mbona lugha chafu??Kipi hakiwezekani ,au unamihemko ya hormones za kike....
Oya acha matusi bishana kwa hoja.Kipi hakiwezekani ,au unamihemko ya hormones za kike....
Hii inatisha hii ..sema Kwa mzee Klopp na kikosi kikiendelea kuwa na afya sioni ugumu sana.View attachment 2122147